Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Unabishanaga ili ushinde unasafari ndefu sana kifikraOkay twende taratibu,wewe ulikusudia nini kuleta hiyo map!??
"Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.Okay twende taratibu,wewe ulikusudia nini kuleta hiyo map!??
Nimeisoma ramani na nimeelewa nilivyoelewa.Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!
Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima
Soma ramani Kuna kitu utaelewa
Anaubishi wa kijinga sana dunia nzima wanajua maeneo ya kurdi ni syria, na iraq ya kaskazini, mashariki ya uturuki, na kaskazini magharibi mwa iranKurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!
Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima
Soma ramani Kuna kitu utaelewa
Okay mkuu umeshindaNimeisoma ramani na nimeelewa nilivyoelewa.
Ndio maana nikakwambia unajua hiyo ramani imezuka lini na kwasababu gani!?
Labda kama una makusudio mengine.
Inafurahisha sana broAnaubishi wa kijinga sana dunia nzima wanajua maeneo ya kurdi ni syria, na iraq ya kaskazini, mashariki ya uturuki, na kaskazini magharibi mwa iran
Ila iraq wana-mpaka autonomous region
Kuna siku alipinga kwa nguvu zote kwamba train ya umeme haijapata hitilafu na alitumia nguvu kubwa akashibda hajakaa sawa akaletewa barua ya trc kukiri train ilipata hitilafu akaanza kuporomosha matusiOkay mkuu umeshinda
Kama mtu anaweza bisha mambo yako wazi na sio mara moja huyo ni mjinga sanaInafurahisha sana bro
Usiwe unaropoka tu.Anaubishi wa kijinga sana dunia nzima wanajua maeneo ya kurdi ni syria, na iraq ya kaskazini, mashariki ya uturuki, na kaskazini magharibi mwa iran
Ila iraq wana-mpaka autonomous region
Bila shaka kuna shida kubwa kwenye mafundisho ya uislam.
Mataifa karibia yote yenye waislam wengi, ukiiondoa Indonesia, wakati wote ni mapigano na kuuana!! Wakati ungetarajia kuwa mataifa hayo kwa vile watu wake karibia wote wana imani ya aina moja, yawe na amani sana, lakini uhalisia ni kinyume chake. Iran, Syria, Yemen, Lebanon, Iraq, Libya, Somalia, Mali, Nigeria, Sudan, wanalipuana na kuuana wenyewe kwa wenyewe. Je, ni mafundisho ya uislam au tabia mbaya za kikatili za waarabu zilizoingizwa kwenye imani, ndizo zinazosababisha haya yote?
We ni mjinga sanaUsiwe unaropoka tu.
Wakurdi wamesambaa kama wamaasai,wamaasai utawakuta maeneo mengi ya kaskazini Manyara,Arusha,Kilimanjaro,mipaka ya Kenya.
Je unataka kusema hayo maeneo ni yao!?
Embu nenda kasome walau utawala wa KHORASAN.
Au ngojea nilete article humu.
Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juuKuna siku alipinga kwa nguvu zote kwamba train ya umeme haijapata hitilafu na alitumia nguvu kubwa akashibda hajakaa sawa akaletewa barua ya trc kukiri train ilipata hitilafu akaanza kuporomosha matusi
Sibishani shida hamjui hiyo ramani imetokeaje.Unabishanaga ili ushinde unasafari ndefu sana kifikra
Kama unaweza bishana na raman na jambo ambalo liko wazi wewe ni kiboko endelea utapewa tuzo ila huwezi badilisha ukweli
We ni mjinga sana
Kwa hiyo kule iraq ambako wakurdi wana-mpaka autonomous region wale ni wajinga wewe ndo unaakili
Wewe ambaye nauhakika hujawahi fika na hata kuishi unayajua kuliko wenyeji wa kule
Hajawahi fika wala kuishi lile eneo ila analijua kuliko wenyejiPsychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu
Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.
Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha
Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu
Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.
Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha
Nina mzee anafanya kazi TRC ukitaka nakutajia jina mtafute MZEE KIPPAYA.Kuna siku alipinga kwa nguvu zote kwamba train ya umeme haijapata hitilafu na alitumia nguvu kubwa akashibda hajakaa sawa akaletewa barua ya trc kukiri train ilipata hitilafu akaanza kuporomosha matusi
Wewe unambiwa kurdi wana-mpaka rais kwenye eneo la iraq ya kaskazini unabisha unajiona mzima kweliSibishani shida hamjui hiyo ramani imetokeaje.
Ninawapa hint nendeni mkasome mnabisha ujinga.
Kurdi ni kabila la kiajemi na kurdi ni asili ya uajemi.
Hiyo ramani inaonesha kusambaa kwao kuanzia utawala wa KHORASAN till date.
Kwasababu wakurdi nao waliwahi kuwa na utawala wao kabla haujavunjwa na Ottoman empire.
Someni acheni ubishi wa kijinga.
Hajawahi fika wala kuishi lile eneo ila analijua kuliko wenyeji
Nilete sehemu ambazo wewe ulianza kunitukana!?Psychological mtu Ukiona ameanza kutukana ujue tayari kashindwa mm tayari nimepewa yangu apo juu
Dumb ass
Aiseeee shule wewe ulienda kusomea ujuha ama!?
mejitia kidole mwenyewe
naona naongea na mtu MJUAJI ASIYE NA KITU KICHWANI.
Hayo yote nimepewa apo juu ila kuna kitu Nisha wai jifunza kwenye psychology kuhusu Emotional so Kuna Kitu nimemuelewa pia hahaha