Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

Uturuki imesabisha ukosefu wa maji kwa watu milioni moja huko Syria. Wapenda haki wa Free Palestine mbona hampazi sauti?

Nina mzee anafanya kazi TRC ukitaka nakutajia jina mtafute MZEE KIPPAYA.
Yeye ndiye aliyenipa taarifa kuwa haikupata hitilafu,ulitaka niamini bila maneno matupu!??
Baadae ukaja-onyeshwa barua yenyewe ya TRC kwamba ilipata hitilafu ukaanza poromosha matusi
 
Wewe unambiwa kurdi wana-mpaka rais kwenye eneo la iraq ya kaskazini unabisha unajiona mzima kweli
Unajua huu mjadala umeanzia wapi!?
Unajua kuwa hiyo kurdi ni semi-autonomous state na sio nchi kamili!?
Unajua hiyo semi-autonomous Kurdish state ilitokeaje na Kwa makubaliano gani!?
Ulisoma Ile mikataba ya 1920 kipindi Ottoman ndio inaanguka iliyofikiwa kuunda taifa la Syria,Iraq,Armenia na Azerbaijan na Kurdistan!?

Naomba unijibu hapo.
 
I'm not arguing over to win or to lose

Sipo hapa kutafuta ushindi nipo kujifunza

So I have nothing to prove hahaha

kwani uliambiwa kuna ku win na ku lose ?? au kuna kutafuta ushindi ?? Hapa kuna kuelimishana , sisi tusiojua ndio tunawauliza nyinyi mlioleta ramani , mtuambie ni lini hiyo ramani ilianza na nani aliyeichora , kuna ubaya gani kuuliza ??
 
kwani uliambiwa kuna ku win na ku lose ?? au kuna kutafuta ushindi ?? Hapa kuna kuelimishana , sisi tusiojua ndio tunawauliza nyinyi mlioleta ramani , mtuambie ni lini hiyo ramani ilianza na nani aliyeichora , kuna ubaya gani kuuliza ??
Nimewauliza wanajichekesha.
Ninja assasin nilimuuliza anajua ramani imetokea wapi hiyo!?
Anazunguka,nikamwambia akasome ujio wa waturuki kutoka Asia ya kati hadi ghuba ya uajemi hadi kuundwa na kuvunjika kwa Himaya ya Ottoman.
Kimyaaa ananiambia mie mjinga najifanya mjuaji.
 
Nimewauliza wanajichekesha.
Ninja assasin nilimuuliza anajua ramani imetokea wapi hiyo!?
Anazunguka,nikamwambia akasome ujio wa waturuki kutoka Asia ya kati hadi ghuba ya uajemi hadi kuundwa na kuvunjika kwa Himaya ya Ottoman.
Kimyaaa ananiambia mie mjinga najifanya mjuaji.
Umeshinda
 
Palestina ni taifa sio kabila.
Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!?
JE Palestina Kuna sehemu ameleta fujo zaidi ya kudai ardhi aliyoikalia Israel!??

Mbona mnaongea mkiwa hamuna ujuzi wa mambo!??
Embu ongeeni mkiwa na utafiti.
Huyo Bashar Al Assad mwenyewe alishakubali Uturuki kuwashambulia kurdi kwasababu kurdi ni moja wapo ya vikundi vilivyosababisha kuvunjika Kwa Syria.
Wewe na Assad nani anajua zaidi!?
Ardhi yao Iko Iran lile ni kabila la kiajemi kwanini lilete fujo hadi Iraq na Uturuki na Syria nchi ya kiarabu?
Palestina imekuwa taifa toka lini je kuliwahi kuwa na hilo taifa la palestina?
 
Wak
Propaganda uchwara zitawapeleka wapi?
We mleta mada nani kakwambia wanaopigana ni Syria na Uturuki!?
Uturuki imejibu shambulizi la Kurdish PKK group, aliyeshambulia ni kurdi sio serikali ya Syria.
Na kama haujui Syria ilishatoa authority ya Uturuki kushambulia maeneo yeyote ambao Kurdi wapo,maana kurdi ni chanzo moja wapo cha kuharibu amani Syria.

Uturuki haijawahi kuacha mtu asiye na hatia akahangaika,hao wote watafikiwa na misaada inayostahili.
Hadi Sasa Uturuki ime host more than 2 millions Syrians Kusini mwake,na kuna hadi mji unaitwa LITTLE DAMASCUS ndani ya UTURUKI. Hiyo yote ni kuwasaidia wasyria wanaopitia changamoto za vita.

Hizi habari za propaganda hazitawafikisha popote, uzuri mnaongea na watu wanaojielewa
Kama Wasyria wengine wanapenda mavita , wakurdi wanataka jitenga mnawang'ang'ania kwann ? Kama Mnataka muwe na wakurdi kwann msiache huo uzombi wenu
 
Kurdi ni kabila miongoni mwa makabila ya kiajemi toka enzi zile za uajemi/Anatolia.
Palestina ni taifa lenye makabila linalopambania uhuru wake.
Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima!??
Wamasai kwao wap ?maana unajitoa akili
 
Back
Top Bottom