Leo hii wazenji ukiwambia Zeni sio kwao itakuwa sw ? Maana walitokea bara hasa hasa Tabora na Kigoma"Kurdi ni kabila,kurdi ardhi yake ni IRAN SIO UTURUKI.
KWANINI ALETE FUJO UTURUKI,SYRIA,IRAQ!
Kurdi wanapostahili kukaa ni Iran,kwanini wanaleta fujo Iraq,Syria na Uturuki!?
Kama wanataka ardhi si wangejikita Iran!?
Tena ni kabila moja linaleta fujo.
Kabila moja unaleta fujo mataifa manne mazima"
Sio maneno yangu ni maneno Yako
Soma ramani Kuna kitu utaelewa