Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
 
Attachments

  • IMG_20240803_165316.jpg
    IMG_20240803_165316.jpg
    191.6 KB · Views: 1
  • IMG_20240803_165312.jpg
    IMG_20240803_165312.jpg
    184.1 KB · Views: 1
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Israel anakaribia kupata sababu ya kushambulia kile kinu cha nuclear.
 
Watu wa eneo la mashariki ya kati ma unafiq hawawezekani
Iran kama anataka kuingia vitani ajiandae kisaikolojia kwakuwategemea hao kina Turkey hatoboi
Aombe kama ataingia vitani na israhell ili kupata msaada ni wananchi kuingia road dhidi ya sirikali zao
Au akiingia aingie mazina mazima ila acha tuone
Naunga mkono maneno ya med kwamba ME ili kuwe na amani lazima kuwe na full war na hio israhell apigwe mpaka achakae ndio amani itapatikanika
 
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Houthi wako wapi? siwasikii siku hizi?
 
Mkuu naheshimu mawaza yako. Ndio tuna ushabiki na kila upande tumeegemea pale tunapopenda ila vita siyo nzuri. Corona na vita Ukraine imejeruhi sana uchumi wa dunia. Vita siyo poa kabisa tuombeni tu amani na usuluhisho.
 
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Utawala wa Iran utaangushwa ukiingia vitani na Israel. Raia wa Iran wanaopinga Serikali watapata back-up kutoka Israel ili kuuangusha Utawala uliopo Iran.
 
Baada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz.
 
Mkuu naheshimu mawaza yako. Ndio tuna ushabiki na kila upande tumeegemea pale tunapopenda ila vita siyo nzuri. Corona na vita Ukraine imejeruhi sana uchumi wa dunia. Vita siyo poa kabisa tuombeni tu amani na usuluhisho.
Binafsi siombei vita sijaiishi vita ila naiona najua mateso wanayoyapata watu huko
Ila ukweli mchungu ndio huo mashariki ya kati bila vita amani waisahau ila angalizo vita yenyewe israhell apigwe akishinda ndio madhila yatakua mara alfu
 
Back
Top Bottom