Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Turkeys hajakaa kizembee kakaa kinafiq na kimaslahiImefika wakati sasa Uturuki nae apewe fupa lake Cyprus na Greece ahangaike nalo naona amekaa kizembezembe sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Turkeys hajakaa kizembee kakaa kinafiq na kimaslahiImefika wakati sasa Uturuki nae apewe fupa lake Cyprus na Greece ahangaike nalo naona amekaa kizembezembe sana.
Kama tafsiri yako ya amani ni Israel kushindwa vita basi mnajidanganya. Hakuna wa kumshinda Israel katika Vita labda mdomoni tu.Binafsi siombei vita sijaiishi vita ila naiona najua mateso wanayoyapata watu huko
Ila ukweli mchungu ndio huo mashariki ya kati bila vita amani waisahau ila angalizo vita yenyewe israhell apigwe akishinda ndio madhila yatakua mara alfu
Arudishe magaidi wake waliotekwa na hamasKama tafsiri yako ya amani ni Israel kushindwa vita basi mnajidanganya. Hakuna wa kumshinda Israel katika Vita labda mdomoni tu.
Iran 80% wanaipenda nchi yao .Utawala wa Iran utaangushwa ukiingia vitani na Israel. Raia wa Iran wanaopinga Serikali watapata back-up kutoka Israel ili kuuangusha Utawala uliopo Iran.
Cyprus ni Turkish territory na Greece ina urafiki mzuri na inanufaika sana na Turkiye.Imefika wakati sasa Uturuki nae apewe fupa lake Cyprus na Greece ahangaike nalo naona amekaa kizembezembe sana.
NATO inamfunga mikono.Turkeys hajakaa kizembee kakaa kinafiq na kimaslahi
Israel imeshashindwa mara kibao tu.Kama tafsiri yako ya amani ni Israel kushindwa vita basi mnajidanganya. Hakuna wa kumshinda Israel katika Vita labda mdomoni tu.
Acha uongo mzee si useme tu wanaendelea kuuzima ule moto ulio ripua matenk yao ya mafuta maana bado una waka mpaka leoWanaendelea kuzamisha Meli za Israel
Umedanganywa ............mwisho wa ayatollah ndio huooooooooooooo unakuja........hiyo inchi walikuwa waislam lakini walikuwa wanafata falsafa ya mzungu........Leo hii hata ugoko huuoni unafikiri wanapenda ?? ........mambo ya mungu kira nafsi ijiangaikie yenyewe kama mtu anavyokwenda kura au kuoga bila kuambiwa ...... kwani wewe uitaki pepo mpaka mimi nikwambie kuna pepo ........jitafakari uchague kukaa kwenye mkeka jamvi au sofa.......Iran 80% wanaipenda nchi yao .
Iran sio uarabuni,hivyo usije kujidanganya unaweza ukapalilia uasi Iran.
Hakuna taifa linachukia external interference kama Iran.
Nafahamu vizuri Sana kwamba Iran ni nchi ya Waajemi (Persians), siyo Waarabu. Aidha, nafahamu pia kwamba Raia wengi sana wa Iran wanaipenda Sana nchi yao ya Iran, Lakini ni ukweli usiopingika kwamba Raia wengi sana wa Iran hawaupendi Utawala/Serikali iliyopo nchini mwao.Iran 80% wanaipenda nchi yao .
Iran sio uarabuni,hivyo usije kujidanganya unaweza ukapalilia uasi Iran.
Hakuna taifa linachukia external interference kama Iran.
Mkuu Iran kama kufanyika uasi ungefanyika siku nyingi.Nafahamu vizuri Sana kwamba Iran ni nchi ya Waajemi, siyo Waarabu. Aidha, nafahamu pia kwamba Raia wengi sana wa Iran wanaipenda Sana nchi yao ya Iran, Lakini ni ukweli usiopingika kwamba Raia wengi sana wa Iran hawaupendi Utawala/Serikali iliyopo nchini mwao.
Kumbuka: Nchi siyo Serikali au Utawala.
Unaweza ukaipenda Sana nchi yako lakini unaweza kuwa unaichukia Sana Serikali iliyopo kwenye nchi yako.
Kuwa mzalendo kwa nchi siyo lazima uwe mzalendo kwa Serikali iliyopo kwenye nchi yako.
Nchi na Serikali ni vitu viwili tofauti kabisa, wala siyo kitu kimoja.
Exactly Misri kwenye YOUM KIPUR alifukuza mwizi kimya kimya, yeye na Syria tu, ila angewashirikisha kina Saud na kundi lake asingefanikiwa kumpiga Israel kirahisi vile.Watu wa eneo la mashariki ya kati ma unafiq hawawezekani
Iran kama anataka kuingia vitani ajiandae kisaikolojia kwakuwategemea hao kina Turkey hatoboi
Aombe kama ataingia vitani na israhell ili kupata msaada ni wananchi kuingia road dhidi ya sirikali zao
Au akiingia aingie mazina mazima ila acha tuone
Naunga mkono maneno ya med kwamba ME ili kuwe na amani lazima kuwe na full war na hio israhell apigwe mpaka achakae ndio amani itapatikanika
Uhalo gani huuBaada ya wimbo alioshirikiana na Nandy kushika namba moja Tanzania na kuendelea kumuacha nyuma Diamond kwenye baadhi ya nchi, Alikiba amerusha maneno yanayotafsirika kuwa ni kijembe kwa Diamond Platinumz.
Punguza kuropoka.Umedanganywa ............mwisho wa ayatollah ndio huooooooooooooo unakuja........hiyo inchi walikuwa waislam lakini walikuwa wanafata falsafa ya mzungu........Leo hii hata ugoko huuoni unafikiri wanapenda ?? ........mambo ya mungu kira nafsi ijiangaikie yenyewe kama mtu anavyokwenda kura au kuoga bila kuambiwa ...... kwani wewe uitaki pepo mpaka mimi nikwambie kuna pepo ........jitafakari uchague kukaa kwenye mkeka jamvi au sofa.......
Hapo ndio unakwama,yaani unafananisha kumficha mtu mmoja mmoja na kushinda full-scale war?Arudishe magaidi wake waliotekwa na hamas
Halaf aregeshe hao wavamizi wake wanaokimbia huko
Yaani nchi mnayodai haishindwi inashindwa hata kuzuia raia wake wasihamishwe kwenye makazi yao na kakikundi fulani
Israhell kweli kwenye media haishindikani ila kwenye uhalisia ndio tatizo linaanzia hapo
Satellites monitor the largest displacement of settlers in 70 years in northern occupied Palestine due to the war with Hezbollah
Hiyo full scale war si aliifanya Gaza na akashindwa kuimaliza!?Hapo ndio unakwama,yaani unafananosha kumficha mtu mmoja mmoja na kushinda full-scale war?
Embu nionyeshe sare rasmi za kivita za HamasHiyo full scale war si aliifanya Gaza na akashindwa kuimaliza!?
Uwezi elewa kama huna D mbiliUhalo gani huu
Kweli upo low sana kwenye International Politics/Geopolitical, nenda kasome vizuri ujifunze kuhusu Cyprus, Greece na Turkey.Cyprus ni Turkish territory na Greece ina urafiki mzuri na inanufaika sana na Turkiye.