Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Embu nionyeshe sare rasmi za kivita za Hamas
Tizama na bendera hizo za Palestina.
Screenshot_2024-08-03-18-18-17-22_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-03-18-19-34-19_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Punguza kuropoka.
Iran raia wanapenda nchi yao na utawala wao.
Na kama kuna matatizo raia watayatafuta wenyewe ila sio kwa kuingiliwa na Watu wa nje.
Hivi ulitizama maoni ya raia katika kampeni za uchaguzi wa mwaka huu wa kumtafuta mbadala wa Ebrahim Raisi!??
Hata kama ikiwa mwisho wa Ayatollah basi ni kwa kuondolewa na Wairan wenyewe kwa matakwa yao ila sio kwa kupandikizwa uasi na Watu ama mataifa ya nje.

Hizo zingine ulizoongea ni blee ble blee.
Wewe endelea kujifanya ni mwananchi wa Tehran........utaenda kulinda kaburi la ayatollah...........mpaka bomu linaenda kuwekwa kwenye makazi yenye ulinzi ya serikali .........ujue watu wamechoka hawaitaki hiyo serikali...........zingatia neno kuichoka
 
Kweli upo low sana kwenye International Politics/Geopolitical, nenda kasome vizuri ujifunze kuhusu Cyprus, Greece na Turkey.
Sipo low mzee nipo deep sana.
Ukitaka tujadili pia.
Mtu kutoka Turkiye kwenda Cyprus au Greece haihitaji visa wala passport and vise versa.
Cyprus kituruki ni sehemu ya lugha yao.
Kuna mpaka vyuo vimejengwa na Uturuki ndani ya Cyprus.
Ukitaka nakutajia.
 
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
hata wafanyaje, hakuna mtu wa kumshinda Mungu wa Israel. wanapoteza muda tu.
 
Hapo ndio unakwama,yaani unafananisha kumficha mtu mmoja mmoja na kushinda full-scale war?
Wewe sasa ndio unakwama
Israhell kashinda full scale war ipi unayoisemea?
Mpaka sasa vita inapiganwa hakuna mshindi
Naomba nisisitize tena vita inayoendelea ghaza israhell ataua ataharibu sana ila kushinda beto yake yakukomboa watu wake na kuiangamiza hamas hili asahau narudia tena asahau
Jana tu makombora yamerushwa kutokea kaskazini ya ghaza
 
Wewe endelea kujifanya ni mwananchi wa Tehran........utaenda kulinda kaburi la ayatollah...........mpaka bomu linaenda kuwekwa kwenye makazi yenye ulinzi ya serikali .........ujue watu wamechoka hawaitaki hiyo serikali...........zingatia neno kuichoka
Suala la kuweka bomu hilo suala la kiintelijensia wewe huwezi kulijua wamefanikishaje,je kama wametumia pandikizi wao myahudi anayeishi Iran?
Maana Iran kuna Jewish community ya Watu laki 8.
Yote ya yote Narudia kukwmambia,hata kama Ayatollah atakua anahesabika muda wake basi ataondolewa na wairan wenyewe ila SIO KWA KUINGILIWA NA MATAIFA YA NJE.Zingatia hiyo kauli niloandika kwa herufi kubwa.
Iran haipendi kuchochewa uasi inapenda ifanye uasi kwa matakwa yao.
 
Exactly Misri kwenye YOUM KIPUR alifukuza mwizi kimya kimya, yeye na Syria tu, ila angewashirikisha kina Saud na kundi lake asingefanikiwa kumpiga Israel kirahisi vile.
Ukiwashirikisha hao wanafiq hupindui yaani
 
Sipo low mzee nipo deep sana.
Ukitaka tujadili pia.
Mtu kutoka Turkiye kwenda Cyprus au Greece haihitaji visa wala passport and vise versa.
Cyprus kituruki ni sehemu ya lugha yao.
Kuna mpaka vyuo vimejengwa na Uturuki ndani ya Cyprus.
Ukitaka nakutajia.
Unatia aibu,nenda kajifunze na kusoma historia ya Cyprus, Greece na Turkey.
 
Wewe sasa ndio unakwama
Israhell kashinda full scale war ipi unayoisemea?
Mpaka sasa vita inapiganwa hakuna mshindi
Naomba nisisitize tena vita inayoendelea ghaza israhell ataua ataharibu sana ila kushinda beto yake yakukomboa watu wake na kuiangamiza hamas hili asahau narudia tena asahau
Jana tu makombora yamerushwa kutokea kaskazini ya ghaza
Kwani Israel anapigana vita kukomboa mateka au kuifurusha Hamas Gaza?
 
Ya vuzi atakuwepoo au
Atapigwa kama ngoma,maana kule Kuna watu hatarii sana,achana na kina cholak wanajua kufuga ndevu2 kujificha kwenye mapagale,kule watu wanakuja sebuleni kwako wanafanya Yao then wanayeyuka kama moshii,nakala anayo ayatollah
 
Back
Top Bottom