Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Kwani Israel anapigana vita kukomboa mateka au kuifurusha Hamas Gaza?
Wewe unaongea kama wewe ila mie nanukuu maneno ya paka
Paka alisema lengo kuu la kwanza ni kuirokomeza hamas (kafanikiwa wapi au kwakumuua haniye?)
Paka akasema lengo namba mbili kukomboa mateka (mwaka sasa kakomboa mateka wanne tu)
Haya nambie kwenye malengo aloyataja paka kafanikiwa yapi ama kuna malengo gani ukiacha ya kuua watu na kuibomoa ghaza
Nakujibu swali ulouliza huko juu ghaza inadhibitiwa nanani
Kwasasa ghaza haipo chini ya udhibiti wa yeyote si hamas wala si israhell
 
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Kimeumana
 
anaongoza mazungumzo yap wakati alipewa ofa ya kuachia mateka kisha mamvo yaishie hapo ila alifanya hivyo ? waislam ni kizaz cha shetani , mnaamin ktk ukorofi na sio amani , mtateseka sana kwa akili hz
LGBTQ+ sijui munashida gani ndio maana hamupendi taiga lenu teule lisemwe
Maongezi yalikua wazi mateka ili waachiwe vita iishe ghaza na wafungwa wanaozuiliwa na wazayuni waachiliwe
Vipi vita iliisha au mateka waliachiliwa?
Kama hamuachii mateka na kuondoka ghaza vita itapiganwa mpaka mwisho wa dunia
Kwa akili zenu fupi ndio maana mnaambiwa ndoa za wake wawili dhambi na mnakubali ila mnaambiwa ndoa za wanaume kwa wanaume na wanawake kwa wanawake halali na mnafungishana huko chachi
Kwaakili hizi mtaendelea kua vilaza mpaka kiama
 
anaongoza mazungumzo yap wakati alipewa ofa ya kuachia mateka kisha mamvo yaishie hapo ila alifanya hivyo ? waislam ni kizaz cha shetani , mnaamin ktk ukorofi na sio amani , mtateseka sana kwa akili hz

Utampiga vipi mtu kajaza nuclear? Iran inabidi aende kwa tahadhari.
Una uhakika gani kua Iran Hana Nyuklia
 
Wewe unaongea kama wewe ila mie nanukuu maneno ya paka
Paka alisema lengo kuu la kwanza ni kuirokomeza hamas (kafanikiwa wapi au kwakumuua haniye?)
Paka akasema lengo namba mbili kukomboa mateka (mwaka sasa kakomboa mateka wanne tu)
Haya nambie kwenye malengo aloyataja paka kafanikiwa yapi ama kuna malengo gani ukiacha ya kuua watu na kuibomoa ghaza
Nakujibu swali ulouliza huko juu ghaza inadhibitiwa nanani
Kwasasa ghaza haipo chini ya udhibiti wa yeyote si hamas wala si israhell
Pale panya walipodhani paka anatania.
 
Attachments

  • Screenshot_20240803-071642.jpg
    Screenshot_20240803-071642.jpg
    574.9 KB · Views: 1
Iran itawaka moto toka juu mbinguni, moto wa Satellite laser weapons, kama naona inaunguzwa moto watu wataungua
 
Exactly Misri kwenye YOUM KIPUR alifukuza mwizi kimya kimya, yeye na Syria tu, ila angewashirikisha kina Saud na kundi lake asingefanikiwa kumpiga Israel kirahisi vile.
Aisee kumbe hata milima ya Golan sehemu ya Syria inayokaliwa na Israel Syria walifanikiwa kuitwaa baada ya kuichapa Israel?,kumbe hata Misiri hawakuomba kumaliza vita mezani ilikuokoa askari wake elfu 20 waliokuwa wamezingirwa na Israel?.kumbe na ule mkataba wa amani kati ya Misiri na Israel haukufikiwa ili Misiri warudishiwe eneo la Sinai ambalo lilikuwa linakaliwa na Israel?.

Kumbe yale mataifa 16 ya kiarabu ikiwemo Iraq,Tunisa,Algeria n.k akiwepo mrusi aliyetuma askari wake elfu40 kuwasaidia waarabu na kisha yeye mwenyewe akatangaza kuwa waarabu wameshindwa vita hayo yote ili kuwa ni ngonjera tu? na Israel haikalii milima ya Golan eneo la Syria kutokana na Syria kukataa kutii sharti la Israel la kubadilishana milima ya Golan na amani kama walivyofanya na Misri?.
 
Huchelewi kuwasikia wamarekani wakisema pande zinazozozana zikutane kwenye maza ya mazungumzo.
Ndio zao hizo wanapoona wao au mshirika wake yuko hatarini kutoka kwa maadui zake
 
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Keep my word, Biblia inasema kuelekea ule mwisho, yaani vita ya Armageddon, serikali za Dunia zitakubaliana kuwa amani hapa Duniani inapotea kutokana na ushawishi wa Dini, hivyo serikali zitapiga marufuku Dini. Sasa kwakuwa Iran 🇮🇷 ni nchi pekee ambayo inamtawala Supreme wa kidini naona unabii ukitimizwa kwa Ayatollah Ali Khamenei kuangushwa. Labda vita hii wanayoitaka wenyewe akina Ayatollah na kujiamisha kushinda ndiyo mwisho wake ⏰ time will tell ila kuelekea mwaka wa 2000 hapo 2029 tutegemee mambo mengi ya kushangaza
 
Ikitokea vita ni WW3, Ila Marekani kupitia UN , watafanya namna ya kuwakutanisha viongozi wamalize haya mambo kidiplomasia

Russia + Turkey ni nchi mbili kubwa zenye nguvu kubwa za silaha na kijeshi...na bado China na North Korea nazo zitakuwa Upande huu huu
 
Kama tafsiri yako ya amani ni Israel kushindwa vita basi mnajidanganya. Hakuna wa kumshinda Israel katika Vita labda mdomoni tu.
Kuishinda Israel maana yake waarabu wachukue Yerusalem, Golan halafu Israel idhibitiwe ili isifurukute, hizo ni ndoto za mchana Iran akianzisha vita utawala wake utaanguka. Utawala wa Ayatolah utakuwa umeisha. Waarabu ushindi wao uko mdomoni
 
  • Thanks
Reactions: RMC
huku waislam wakishirikian ncho ngap ? na unataka Israel abakie pekee yake , hv una akili kwel mkuu ? yaan Israel abakie pekee yake ila nyiny wavaa kobaz muungane
Maana Russia ni waislam mkuu kweli unaakili wewe the world alliance na struggle for power haina mambo ya religion hao israel wenyewe hawatambui dini zetu hizi wao wako na talmud zao
 
Kuishinda Israel maana yake waarabu wachukue Yerusalem, Golan halafu Israel idhibitiwe ili isifurukute, hizo ni ndoto za mchana Iran akianzisha vita utawala wake utaanguka. Utawala wa Ayatolah utakuwa umeisha. Waarabu ushindi wao uko mdomoni
This is not easy mkuu Iran is powerful sio sawa na akina Iraq au Libya na pia wanaaaliance za kushibana na zaidi yanchi 6 ambazo wako tayari kuingiza nchi zao vitani kwa ziko under control ya Iran zikipata 100% ya military support ya iran kwa hiyo sio kitu rahisi hii kama itakuwa vita haitakuwa kitu chepesi kabisa kabisa ngoja tuone power is power but who will be most powerfull ngoja tuone ila zinaweza kupigwa nukes pale middle east za piga nikupige tukose wote .
 
Huko tuendako siioni utawala huu unaojiita wa kidini wa Iran ukibaki madarakani. Huwezi ukapambana na Israel ukabaki salama.
 
Huko tuendako siioni utawala huu unaojiita wa kidini wa Iran ukibaki madarakani. Huwezi ukapambana na Israel ukabaki salama.
We nae unatuletea stori za kifikirika huyo unayemsifia anamaliza mwaka hajakomboa mateka waliomo ndani ya eneo kama Wilaya ya Bagamoyo tu
 
Back
Top Bottom