Hahaha kwenye conventional warfare without western interventional israel hana muda anashindwa mapema kabisa ila with western support atasurvive hio ni factAtapigwa kama ngoma,maana kule Kuna watu hatarii sana,achana na kina cholak wanajua kufuga ndevu2 kujificha kwenye mapagale,kule watu wanakuja sebuleni kwako wanafanya Yao then wanayeyuka kama moshii,nakala anayo ayatollah