Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kipigo kimewachanganya! Wamepoteana 😁😁😁Houthi wako wapi? siwasikii siku hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipigo kimewachanganya! Wamepoteana 😁😁😁Houthi wako wapi? siwasikii siku hizi?
Uturuki ,Egypt na Iran wangekuwa na ushirikiano seriously na kuacha unafiki wao ,wangekuwa washamnyoosha mzayuni na kumfuta .Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Turkey kinachowaponza ni undumila kuwiliImefika wakati sasa Uturuki nae apewe fupa lake Cyprus na Greece ahangaike nalo naona amekaa kizembezembe sana.
Halafu hawa waturuki tangia wapoteze empire Yao Ile ya Otoman ,washakuwa wapumbav Sana .Imefika wakati sasa Uturuki nae apewe fupa lake Cyprus na Greece ahangaike nalo naona amekaa kizembezembe sana.
Wanasaga mirungi tu muda huu na kujitibu kipindupindu na kwashiokorHouthi wako wapi? siwasikii siku hizi?
Yah ! Ni moja ya mataifa yenye jeshi kubwa imara ,lenye technology , resources na experience ya vita .NATO inamfunga mikono.
Kama isingekuwa NATO basi Turkiye ni nchi ambayo ikiingia vitani kukusaidia tegemea 90% unashinda.
Misri alianzisha vita na lengo la kuanzisha vita ni kukumboa eneo lake la Sinai, baada ya Vita wakarudishiwa hilo eneo.Aisee kumbe hata milima ya Golan sehemu ya Syria inayokaliwa na Israel Syria walifanikiwa kuitwaa baada ya kuichapa Israel?,kumbe hata Misiri hawakuomba kumaliza vita mezani ilikuokoa askari wake elfu 20 waliokuwa wamezingirwa na Israel?.kumbe na ule mkataba wa amani kati ya Misiri na Israel haukufikiwa ili Misiri warudishiwe eneo la Sinai ambalo lilikuwa linakaliwa na Israel?.
Kumbe yale mataifa 16 ya kiarabu ikiwemo Iraq,Tunisa,Algeria n.k akiwepo mrusi aliyetuma askari wake elfu40 kuwasaidia waarabu na kisha yeye mwenyewe akatangaza kuwa waarabu wameshindwa vita hayo yote ili kuwa ni ngonjera tu? na Israel haikalii milima ya Golan eneo la Syria kutokana na Syria kukataa kutii sharti la Israel la kubadilishana milima ya Golan na amani kama walivyofanya na Misri?.
Na kibaya zaidi kajiroga kujiunga NATO.Yah ! Ni moja ya mataifa yenye jeshi kubwa imara ,lenye technology , resources na experience ya vita .
Wako vizuri mno ,ila hawaimbwi sana .
Kinachonikera ni undumila kuwili wa hao watawala wao na bora haya huyu Edorgan wa sasa , na ana hasira sana baada ya kunusurika kupinduliwa na CIA .
Ndio ujue jinsi mmarekani na washenzi wenzake walivyo kazini kuhakikisha middle east undumila kuwili, unafiki na kukosa mshikamano kwa mataifa yenye nguvu kijeshi unaendelea ili kuhakikisha dormimance ya mazayuni hapo.
Na cha kuongeza 80% ya Sinai ilishakombolewa except few settlements ndio bado zilikua chini ya Israel ambazo zilirudishwa kwa makubaliano ya Camp David.Misri alianzisha vita na lengo la kuanzisha vita ni kukumboa eneo lake la Sinai, baada ya Vita wakarudishiwa hilo eneo.
Pia si kweli kwamba wanajeshi 20,000 walizingirwa, hizo ni propaganda tu za Israel kwamba Eti kikosi cha Sharon kilikuwa kimezingira wanajeshi wa Egpty. Tafuta elimu kwenye vitabu na sio propaganda za Media. Sharon alilose vibaya mno zipo mpaka Interview za wakati huo mwenyewe alikiri kuwa ilikuwa siku mbaya maishani mwake ila sasa hivi tunapigwa fix eti alizingira kikosi cha Egpty, Nioneshe Scholary resource yoyote ile inayothibitisha hilo la Sharon kuzingira hilo eneo, mpaka Anafika Suez Canal Sharon alikua amepoteza vifaru na wanajeshi wa kutosha tu.
1. Kissinger alienda Moscow kuwafata Ussr wasitishe vita,. Marekani na kiburi Chao wenyewe wao ndio waliomba kote, hadi Egpty Waliahidiwa hela nyingi tu na hadi leo wanalipwa wasipigane na Israel.
2. Waziri wa Ulinzi na Golda meir mwenyewe wa Israel walijiuzulu, unaposhinda vita hujiuzulu.
3. ANWAR sadat akapewa Noble prize kwa kukubali kusitisha vita, nchi iliopigwa iweje na matuzo juu juu
4. Israel akakubali kurudi Sha Sinai, ukishinda hurudishi eneo ambalo miaka kadhaa unalo
Muulize mwanajeshi yoyote wa Marekani, wanafundishwa hii vita kila siku kwenye mtaala wao, na haisemi kwamba Israel alishinda, only kwenye media.
Unaongelea kutoka wapi?Turkeys hajakaa kizembee kakaa kinafiq na kimaslahi
Turkey ndo yuko karibu na Israel kuliko Iran, anapeleka silaha za nini Iran mbali hivo? Si apige Israel moja kwa moja? Anataka Iran ichakae kama Gaza, Iran itakuwa uwanja wa mapambano.Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Unajua hii idea yenu huwa inanishangaza kiasi!Israel anakaribia kupata sababu ya kushambulia kile kinu cha nuclear.
Mkuu ukikubali kutumia akili kidogo tu utajua tofauti yake.Unajua hii idea yenu huwa inanishangaza kiasi!
Hivi kwani Israel hawana kinu cha nuclear ambacho kinaweza kushambuliwa?
Au Israel wana kinga dhidi ya makombora?
Eti Kosugi hii kitu imekaaje kiongozi?
Hilo gumu kulieleza mkuu,ila hata Iran sasa hivi nuclear facility zake ziko underground huwezi ukazishambulia na ukafanikiwa.Unajua hii idea yenu huwa inanishangaza kiasi!
Hivi kwani Israel hawana kinu cha nuclear ambacho kinaweza kushambuliwa?
Au Israel wana kinga dhidi ya makombora?
Eti Kosugi hii kitu imekaaje kiongozi?
Wajanja sana, wanakuletea vifaa ukapiganie kwako...
Ungekubali kutumia akili kidogo tu ungejibu nilichouliza. Ila inaonekana haujui, unaongozwa na ushabiki zaidi.Mkuu ukikubali kutumia akili kidogo tu utajua tofauti yake.