Misri alianzisha vita na lengo la kuanzisha vita ni kukumboa eneo lake la Sinai, baada ya Vita wakarudishiwa hilo eneo.
Pia si kweli kwamba wanajeshi 20,000 walizingirwa, hizo ni propaganda tu za Israel kwamba Eti kikosi cha Sharon kilikuwa kimezingira wanajeshi wa Egpty. Tafuta elimu kwenye vitabu na sio propaganda za Media. Sharon alilose vibaya mno zipo mpaka Interview za wakati huo mwenyewe alikiri kuwa ilikuwa siku mbaya maishani mwake ila sasa hivi tunapigwa fix eti alizingira kikosi cha Egpty, Nioneshe Scholary resource yoyote ile inayothibitisha hilo la Sharon kuzingira hilo eneo, mpaka Anafika Suez Canal Sharon alikua amepoteza vifaru na wanajeshi wa kutosha tu.
1. Kissinger alienda Moscow kuwafata Ussr wasitishe vita,. Marekani na kiburi Chao wenyewe wao ndio waliomba kote, hadi Egpty Waliahidiwa hela nyingi tu na hadi leo wanalipwa wasipigane na Israel.
2. Waziri wa Ulinzi na Golda meir mwenyewe wa Israel walijiuzulu, unaposhinda vita hujiuzulu.
3. ANWAR sadat akapewa Noble prize kwa kukubali kusitisha vita, nchi iliopigwa iweje na matuzo juu juu
4. Israel akakubali kurudi Sha Sinai, ukishinda hurudishi eneo ambalo miaka kadhaa unalo
Muulize mwanajeshi yoyote wa Marekani, wanafundishwa hii vita kila siku kwenye mtaala wao, na haisemi kwamba Israel alishinda, only kwenye media.