Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Na wasipokuletea unapigania wapi!?Wajanja sana, wanakuletea vifaa ukapiganie kwako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wasipokuletea unapigania wapi!?Wajanja sana, wanakuletea vifaa ukapiganie kwako...
We jamaa una maswali ya kiduwanzi😂😂😂😂😂Na wasipokuletea unapigania wapi!?
Wewe unaongea kama wewe ila mie nanukuu maneno ya pakaKwani Israel anapigana vita kukomboa mateka au kuifurusha Hamas Gaza?
KimeumanaUturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
LGBTQ+ sijui munashida gani ndio maana hamupendi taiga lenu teule lisemweanaongoza mazungumzo yap wakati alipewa ofa ya kuachia mateka kisha mamvo yaishie hapo ila alifanya hivyo ? waislam ni kizaz cha shetani , mnaamin ktk ukorofi na sio amani , mtateseka sana kwa akili hz
anaongoza mazungumzo yap wakati alipewa ofa ya kuachia mateka kisha mamvo yaishie hapo ila alifanya hivyo ? waislam ni kizaz cha shetani , mnaamin ktk ukorofi na sio amani , mtateseka sana kwa akili hz
Una uhakika gani kua Iran Hana NyukliaUtampiga vipi mtu kajaza nuclear? Iran inabidi aende kwa tahadhari.
Kanali gani haelewi simple term kama hii?Na wasipokuletea unapigania wapi!?
Pale panya walipodhani paka anatania.Wewe unaongea kama wewe ila mie nanukuu maneno ya paka
Paka alisema lengo kuu la kwanza ni kuirokomeza hamas (kafanikiwa wapi au kwakumuua haniye?)
Paka akasema lengo namba mbili kukomboa mateka (mwaka sasa kakomboa mateka wanne tu)
Haya nambie kwenye malengo aloyataja paka kafanikiwa yapi ama kuna malengo gani ukiacha ya kuua watu na kuibomoa ghaza
Nakujibu swali ulouliza huko juu ghaza inadhibitiwa nanani
Kwasasa ghaza haipo chini ya udhibiti wa yeyote si hamas wala si israhell
Aisee kumbe hata milima ya Golan sehemu ya Syria inayokaliwa na Israel Syria walifanikiwa kuitwaa baada ya kuichapa Israel?,kumbe hata Misiri hawakuomba kumaliza vita mezani ilikuokoa askari wake elfu 20 waliokuwa wamezingirwa na Israel?.kumbe na ule mkataba wa amani kati ya Misiri na Israel haukufikiwa ili Misiri warudishiwe eneo la Sinai ambalo lilikuwa linakaliwa na Israel?.Exactly Misri kwenye YOUM KIPUR alifukuza mwizi kimya kimya, yeye na Syria tu, ila angewashirikisha kina Saud na kundi lake asingefanikiwa kumpiga Israel kirahisi vile.
Ndio zao hizo wanapoona wao au mshirika wake yuko hatarini kutoka kwa maadui zakeHuchelewi kuwasikia wamarekani wakisema pande zinazozozana zikutane kwenye maza ya mazungumzo.
Keep my word, Biblia inasema kuelekea ule mwisho, yaani vita ya Armageddon, serikali za Dunia zitakubaliana kuwa amani hapa Duniani inapotea kutokana na ushawishi wa Dini, hivyo serikali zitapiga marufuku Dini. Sasa kwakuwa Iran 🇮🇷 ni nchi pekee ambayo inamtawala Supreme wa kidini naona unabii ukitimizwa kwa Ayatollah Ali Khamenei kuangushwa. Labda vita hii wanayoitaka wenyewe akina Ayatollah na kujiamisha kushinda ndiyo mwisho wake ⏰ time will tell ila kuelekea mwaka wa 2000 hapo 2029 tutegemee mambo mengi ya kushangazaUturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Kuishinda Israel maana yake waarabu wachukue Yerusalem, Golan halafu Israel idhibitiwe ili isifurukute, hizo ni ndoto za mchana Iran akianzisha vita utawala wake utaanguka. Utawala wa Ayatolah utakuwa umeisha. Waarabu ushindi wao uko mdomoniKama tafsiri yako ya amani ni Israel kushindwa vita basi mnajidanganya. Hakuna wa kumshinda Israel katika Vita labda mdomoni tu.
Maana Russia ni waislam mkuu kweli unaakili wewe the world alliance na struggle for power haina mambo ya religion hao israel wenyewe hawatambui dini zetu hizi wao wako na talmud zaohuku waislam wakishirikian ncho ngap ? na unataka Israel abakie pekee yake , hv una akili kwel mkuu ? yaan Israel abakie pekee yake ila nyiny wavaa kobaz muungane
This is not easy mkuu Iran is powerful sio sawa na akina Iraq au Libya na pia wanaaaliance za kushibana na zaidi yanchi 6 ambazo wako tayari kuingiza nchi zao vitani kwa ziko under control ya Iran zikipata 100% ya military support ya iran kwa hiyo sio kitu rahisi hii kama itakuwa vita haitakuwa kitu chepesi kabisa kabisa ngoja tuone power is power but who will be most powerfull ngoja tuone ila zinaweza kupigwa nukes pale middle east za piga nikupige tukose wote .Kuishinda Israel maana yake waarabu wachukue Yerusalem, Golan halafu Israel idhibitiwe ili isifurukute, hizo ni ndoto za mchana Iran akianzisha vita utawala wake utaanguka. Utawala wa Ayatolah utakuwa umeisha. Waarabu ushindi wao uko mdomoni
We nae unatuletea stori za kifikirika huyo unayemsifia anamaliza mwaka hajakomboa mateka waliomo ndani ya eneo kama Wilaya ya Bagamoyo tuHuko tuendako siioni utawala huu unaojiita wa kidini wa Iran ukibaki madarakani. Huwezi ukapambana na Israel ukabaki salama.
Lakini Iran analia nini sasa.. !!??We nae unatuletea stori za kifikirika huyo unayemsifia anamaliza mwaka hajakomboa mateka waliomo ndani ya eneo kama Wilaya ya Bagamoyo tu