green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Israel anakaribia kupata sababu ya kushambulia kile kinu cha nuclear.Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Israhell meza ya duara haelewi israhell anaelewa vita tuSasa Wananchi Ndiyo Watateseka Sana
Waingie Meza Ya Duara Taratibu
Houthi wako wapi? siwasikii siku hizi?Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Wanaendelea kuzamisha Meli za IsraelHouthi wako wapi? siwasikii siku hizi?
Houthi hawataki kusikiwaHouthi wako wapi? siwasikii siku hizi?
Kwa ufafanuzi wako mzuri,Tukubaliane na huyu👇Israhell meza ya duara haelewi israhell anaelewa vita tu
FM wa turkey kaliweka wazi hili baada ya kifo cha haniye
Alokua anaongoza mazungumzo wamemfyeka wanataka mazungumzo hawa?
Eiwaaah huyu bwana yupo sahihi kabisa kabisaaaaKwa ufafanuzi wako mzuri,Tukubaliane na huyu👇View attachment 3060605
Mkuu naheshimu mawaza yako. Ndio tuna ushabiki na kila upande tumeegemea pale tunapopenda ila vita siyo nzuri. Corona na vita Ukraine imejeruhi sana uchumi wa dunia. Vita siyo poa kabisa tuombeni tu amani na usuluhisho.Watu wa eneo la mashariki ya kati ma unafiq hawawezekani
Iran kama anataka kuingia vitani ajiandae kisaikolojia kwakuwategemea hao kina Turkey hatoboi
Aombe kama ataingia vitani na israhell ili kupata msaada ni wananchi kuingia road dhidi ya sirikali zao
Au akiingia aingie mazina mazima ila acha tuone
Naunga mkono maneno ya med kwamba ME ili kuwe na amani lazima kuwe na full war na hio israhell apigwe mpaka achakae ndio amani itapatikanika
Utawala wa Iran utaangushwa ukiingia vitani na Israel. Raia wa Iran wanaopinga Serikali watapata back-up kutoka Israel ili kuuangusha Utawala uliopo Iran.Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran
Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN,
on the route Tehran-Ankara-Instabul.
In same time Russian special squadron Il-96 flew also twice in two days+one Russian Il-76 .
Binafsi siombei vita sijaiishi vita ila naiona najua mateso wanayoyapata watu hukoMkuu naheshimu mawaza yako. Ndio tuna ushabiki na kila upande tumeegemea pale tunapopenda ila vita siyo nzuri. Corona na vita Ukraine imejeruhi sana uchumi wa dunia. Vita siyo poa kabisa tuombeni tu amani na usuluhisho.