Uturuki nayo yatuma zana za Kivita Iran

Ninakubali kuwa ni kweli inaweza ikawa ni propaganda kwa kuwa mimi na wewe hatukuwepo ukweli wanao wenyewe waliohusika na vita hivyo mimi na wewe tunakisema kile ambacho tumekisoma kwenye kumbukumbu mbalimbali ama kukishuhudia kwenye video mbalimbali ambazo zinaonyesha kuwa kuna sehemu waisrael walichapwa vibaya sana na wamisiri na kuna sehemu zingine zinaonyesha kuwa wamisiri wanachalazwa sana na wa Israel kwa hiyo zote hizo zinaweza zikawa bado ni proganda tu,ukweli wenyewe uko kwa wahusika wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…