Uturuki wakamata majasusi wa Israel

Uturuki wakamata majasusi wa Israel

Labda wamekamata viongozi wa PKK wanaoishi Turkey, mbona hao wanafanana na waturki? Kama ni wa Israel labda ni jamii ya Israel inayoishi hapo hapo Turkey
 
Wewe unasema Serikali ya Uturuki imekamata Majasusi wa Israel.

Wakati serikali ya Uturuki katika taarifa yake rasmi wanasema wanawahisi kuwa hao waliokamatwa ni waturuki wanafanya upelelezo kwa ajili ya Mossad.

Wapinzani na wachambuzi nchini Uturuki wanasema hizo ni sarakasi na twist tu za serikali wakati wanajiandaa na Uchaguzi wa Mwezi March mwaka huu. Maana awali walisema wamewakama ISIL wakijiandaa kufanya mashambulizi wakati wa mkesha wa mwaka mpya, ila baada ya kauli ya mkuu wa Shin Bet kwamba wanakwenda kusambaratisha Hamas popote walipo ikiwemo huko Lebanon, Turkey na Qatar, ndipo Turkey nayo ikaja na kauli ya kukamata hao watu, tena ikiwatoa kwenye list ileile ya wale iliowakamata ikiwatuhumu kuwa ni ISIL

Haya hebu tuambie faster, tukuamini wewe?
Tuiamini serikali ya Uturuki?
Tuwaamini wachambuzi na wapinzani nchini uturuki?
Wewe umeandika hivi.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Wewe unasema Serikali ya Uturuki imekamata Majasusi wa Israel.

Wakati serikali ya Uturuki katika taarifa yake rasmi wanasema wanawahisi kuwa hao waliokamatwa ni waturuki wanafanya upelelezo kwa ajili ya Mossad..
>>>>>>>>>>>>>>>>
Kwa hiyo wewe huataki waitwe majasusi😂😂😂
 
Labda wamekamata viongozi wa PKK wanaoishi Turkey, mbona hao wanafanana na waturki? Kama ni wa Israel labda ni jamii ya Israel inayoishi hapo hapo Turkey
Wamekamata waturuki, lakini jamaa anataka kutuaminisha atakavyo yeye.
Halafu serikali ya Turkey ni joke tu. Ndiyo hii iliponusurika kupinduliwa ikakamata watu karibia 70,000 waliopanga njama ya kuipindua serikali halafu ikafukuza kazi watu 100,000 ambao walijua mpango huo lakini hawakuchukua taarifa🤣.
Sasa nchi kama hii na arresting za aina hii mtu anataka watu wazibugie tu.
 
Kwa kifupi huwa hauna sentensi ya kuongea na watu wanao reason...Jukwaa lako ni kwa watu wanaaongea kwa hisia. Ngoja nikuache tu.
 
Ona ulivyo fala, lete hicho ulichoandika kwa Kiswahili. Ulichoandika kwa Kiswahili umepotosha mazima, kwa kukusaidia tu, rudi usome tittle ya thread yako, ndiyo utaelewa hicho ulichokiandika kwa Kiswahili hata kama ume edit.
Haya ni matukio ya kwanza ya majasusi wa Mossad waliokamatwa na polisi wa Uturuki, na walijumuisha mataifa mbalimbali kutoka Palestina, Wayahudi, Uturuki, na mataifa mengine ambayo hayakufichuliwa.

Kulingana na ripoti za polisi wa Uturuki, mipango yao ilikuwa mauaji, milipuko ya mabomu na kukusanya habari.
Hicho hapo nionyeshe kosa langu
 
Ila waarab wangekuwa dominant dunia isingekuwa sehemu salama ya kuishi, ni bora maisrael yaendelee kuwapelekea moto tu hivyo hivyo yapunguze ujinga vichwani mwao!.
 
Kwa kifupi huwa hauna sentensi ya kuongea na watu wanao reason...Jukwaa lako ni kwa watu wanaaongea kwa hisia. Ngoja nikuache tu.
Wewe mwenye reason onyesha kosa langu unakuja na jazba tu.
 
Labda wamekamata viongozi wa PKK wanaoishi Turkey, mbona hao wanafanana na waturki? Kama ni wa Israel labda ni jamii ya Israel inayoishi hapo hapo Turkey
Akina netanyahu si ni waturuki,walibadili dini na mfalme wao wa khazara
 
Wamekamata waturuki, lakini jamaa anataka kutuaminisha atakavyo yeye.
Halafu serikali ya Turkey ni joke tu. Ndiyo hii iliponusurika kupinduliwa ikakamata watu karibia 70,000 waliopanga njama ya kuipindua serikali halafu ikafukuza kazi watu 100,000 ambao walijua mpango huo lakini hawakuchukua taarifa🤣.
Sasa nchi kama hii na arresting za aina hii mtu anataka watu wazibugie tu.
Wewe kumbe pimbi kiasi hicho kwani Waturuki hawezi kuwa majasusi wa Israel? Hao waliokamatwa ni raia wa nchi nyingi ni majasusi wa Israel unachobisha nini wewe fala?
 
Kwani kuna watu wanafikiri Mosad sio binadamu? ni binadamu na wanakamatika tu
 
Ningependa kuamini mlichokisema awali kwamba, uvamizi wa Hamasi kwa wayahudi ilikuwa ni mbinu ya Israel kuivamia Palestine

Mkiikana hii kauli tutaanza kujadili juu ya mateka
KWAHIYO ISRAEL WANAJITIA KIDOLE NA KUNUSA WENYEWE na wale wanajeshi wao wanaokufa kule GAZA ni IDF au JWTZ?
 
Wewe kumbe pimbi kiasi hicho kwani Waturuki hawezi kuwa majasusi wa Israel? Hao waliokamatwa ni raia wa nchi nyingi ni majasusi wa Israel unachobisha nini wewe fala?
Endelea kujitafuta. Kenge wewe, kazi kula kungu Manga.
Wewe umeleta taarifa ukitaka kuaminisha watu kuwa waliokamatwa ni Waisrael, ndiyo maaana nilikua nakusisitizia urudi kusoma kile ulichokiandika kwa Kiswahili uiringanisha na taarifa uliyoileta kwa Kiingereza.
Viongozi wako walijificha Qatar wameshaanza kukimbia...haya furahia sasa.
 
Acha ufala wewe dogo, nenda ukasome ulichokiandika kwa hisia zako halafu soma kilichomo kwenye hiyo link uliyoileta.
Unafikiri humu kuna wenye utoto wa akili kama ulio nao wewe?
Kwani ww majasusi wa Israel wakikamatwa unapungukiwa nn mbona povu lime kujaa mpaka unataka kupasuka?
 
Endelea kujitafuta. Kenge wewe, kazi kula kungu Manga.
Wewe umeleta taarifa ukitaka kuaminisha watu kuwa waliokamatwa ni Waisrael, ndiyo maaana nilikua nakusisitizia urudi kusoma kile ulichokiandika kwa Kiswahili uiringanisha na taarifa uliyoileta kwa Kiingereza.
Viongozi wako walijificha Qatar wameshaanza kukimbia...haya furahia sasa.
Yaani uko tiyari umlishe maneno ili kufurahisha nafsi yako .
Jamaa haja sema kuwa waisrael bali kasema majasusi wa Israel jasusi anaweza kuwa raia wa taifa lolote tu.
 
Usifikiri tumeanzia hapo. Soma vizuri na uelewe ninachokosoa, usidhani natafuta faraja, mimi siyo wa hivyo. Hapa nakemea upotoshaji.
Yaani mimi nije kutafuta furaha JF?
 
Kwani ww majasusi wa Israel wakikamatwa unapungukiwa nn mbona povu lime kujaa mpaka unataka kupasuka?
uena hata kunachojadiliwa hapa haujakilewa.
Ngoa niede na wewe katika viwango vyako. Kwani wewe ungepita bila ku comment ungepungukiwa nini?
 
Endelea kujitafuta. Kenge wewe, kazi kula kungu Manga.
Wewe umeleta taarifa ukitaka kuaminisha watu kuwa waliokamatwa ni Waisrael, ndiyo maaana nilikua nakusisitizia urudi kusoma kile ulichokiandika kwa Kiswahili uiringanisha na taarifa uliyoileta kwa Kiingereza.
Viongozi wako walijificha Qatar wameshaanza kukimbia...haya furahia sasa.
Watu 34 wanaohusishwa na Mossad wameripotiwa kukamatwa katika maeneo 57 katika miji minane nchini Uturuki.

Kukamatwa kwa watu hao kumefuatia uchunguzi wa pamoja wa mashirika ya kijasusi ya Uturuki kuhusu madai ya ujasusi na shughuli zinazowezekana za utekaji nyara.
Wapi nimekuambia walikamatwa ni Waisrael?
utakuwa shoga wewe unalazimisha upumbuvu uzi wangu unajieleza wazi waliokamatwa ni watu kutoka mataifa mbalmbali walikuwa majasusi wa Israel.

Wapi nimesema waliokamatwa ni Waisrael? Nimeweke bandiko langu kiswahili na Kiingereza wewe peke yako ndiyo povu linakutoka pimbi sana wewe punguani.
 
Usifikiri tumeanzia hapo. Soma vizuri na uelewe ninachokosoa, usidhani natafuta faraja, mimi siyo wa hivyo. Hapa nakemea upotoshaji.
Yaani mimi nije kutafuta furaha JF?
Acha ujinga wewe upotoshaji upi unapiga wewe punguani?
Haya ni matukio ya kwanza ya majasusi wa Mossad waliokamatwa na polisi wa Uturuki, na walijumuisha mataifa mbalimbali kutoka Palestina, Wayahudi, Uturuki, na mataifa mengine ambayo hayakufichuliwa.
Hapo ujaelewa nini????
 
Back
Top Bottom