Uturuki wakamata majasusi wa Israel

Uturuki wakamata majasusi wa Israel

Labda wamekamata viongozi wa PKK wanaoishi Turkey, mbona hao wanafanana na waturki? Kama ni wa Israel labda ni jamii ya Israel inayoishi hapo hapo Turkey
Nii raia wa mataifa mengi walikuwa majasusi wa Israel.
 
Watu 34 wanaohusishwa na Mossad wameripotiwa kukamatwa katika maeneo 57 katika miji minane nchini Uturuki.

Kukamatwa kwa watu hao kumefuatia uchunguzi wa pamoja wa mashirika ya kijasusi ya Uturuki kuhusu madai ya ujasusi na shughuli zinazowezekana za utekaji nyara.
Wapi nimekuambia walikamatwa ni Waisrael?
utakuwa shoga wewe unalazimisha upumbuvu uzi wangu unajieleza wazi waliokamatwa ni watu kutoka mataifa mbalmbali walikuwa majasusi wa Israel.

Wapi nimesema waliokamatwa ni Waisrael? Nimeweke bandiko langu kiswahili na Kiingereza wewe peke yako ndiyo povu linakutoka pimbi sana wewe punguani.
Angalau umeanza kurekebika sasa. Mimi mbona ukiwa umenyooka hata sina noma kabisa
 
Wanaukumbi.

Dangerous
These are the first scenes of the Mossad spies who were arrested by the Turkish police, and they included various nationalities from Palestine, Jews, Turkey, and other nationalities that were not disclosed.

According to Turkish police reports, their plans were assassinations, bombings, and information gathering

=====

Haya ni matukio ya kwanza ya majasusi wa Mossad waliokamatwa na polisi wa Uturuki, na walijumuisha mataifa mbalimbali kutoka Palestina, Wayahudi, Uturuki, na mataifa mengine ambayo hayakufichuliwa.

Kulingana na ripoti za polisi wa Uturuki, mipango yao ilikuwa mauaji, milipuko ya mabomu, na kukusanya habari

View attachment 2862465

Wauawe tu, hakuna namna. Mwisho wa magaidi umefika tamati.
 
Majasusi wamerundikana chumba kimoja kama waamiaji haramu kutoka somalia.
 
Hili jamaa bangi kweli......hapo ni waturuki wamekamata waislam wenzao ......kumbe mnajua sasa kama maislam ni magaidi sasa mnabwata bwata nini kuku medi ninyi?
 
Uharo
 
Sheikh wangu. Nimekufuata private huku kukujulisha ile thread umeweka kule kuhusu majasusi wa mayahudi ni tumeingia chaka.

Hii na mimi niliamini hivyo nimefuatilia kumbe ni sarakasi tu. Nlianza kufurahia. But ni kujichanganya kwa Serikali ya Uturuki. Maana hawajielewi. Halafu mara wanasema ni Waturuki wenyewe mara ni Wapinzani.

ila tuendelee kuwashambulia kwenye mitandao hasa sisi tulioko huku JF tusiache

Wanaukumbi.

Dangerous
These are the first scenes of the Mossad spies who were arrested by the Turkish police, and they included various nationalities from Palestine, Jews, Turkey, and other nationalities that were not disclosed.

According to Turkish police reports, their plans were assassinations, bombings, and information gathering

=====

Haya ni matukio ya kwanza ya majasusi wa Mossad waliokamatwa na polisi wa Uturuki, na walijumuisha mataifa mbalimbali kutoka Palestina, Wayahudi, Uturuki, na mataifa mengine ambayo hayakufichuliwa.

Kulingana na ripoti za polisi wa Uturuki, mipango yao ilikuwa mauaji, milipuko ya mabomu, na kukusanya habari

View attachment 2862465
 
Sheikh wangu. Nimekufuata private huku kukujulisha ile thread umeweka kule kuhusu majasusi wa mayahudi ni tumeingia chaka.

Hii na mimi niliamini hivyo nimefuatilia kumbe ni sarakasi tu. Nlianza kufurahia. But ni kujichanganya kwa Serikali ya Uturuki. Maana hawajielewi. Halafu mara wanasema ni Waturuki wenyewe mara ni Wapinzani.

ila tuendelee kuwashambulia kwenye mitandao hasa sisi tulioko huku JF tusiache
Sikia wewe shoga mimi JF sijaja na mtu wala usinishobekee naona unaleta mazoea mimi na mashoga mbali mbali kaa mbali na mimi usiniltee kabisa uharo wako halafu kama unataka maswala ya dini nenda jukwaa la dini mimi naitwa Ritz mambo sijui shehe wangu kwanza mimi sikufahamu.
Ujumbe umefika.
 
Israeli channel 12:

Netanyahu is considering closing some government agencies and transferring their funds to cover war expenses
 
Sheikh mbona unapanic hata kwa sisi wa sisi? Hasira za nini? Sikujua kama nimetuma kwenye thread. Tusigombane wenyewe kwa wenyewe. Tuendelee kama tulivyokubaliana kuwashambulia mayahudi kwenye mitandao na tuwasaidie maarabu menzetu. Nimekueleza tu hii ulikurupuka wametuingiza chaka. Ila si mbaya tuendelee kuwatia moyo wenzetu. Mbona una khasira sheikh wangu? Sisi watu wazima tusifikie huku.
 
Wanaukumbi.

Dangerous
These are the first scenes of the Mossad spies who were arrested by the Turkish police, and they included various nationalities from Palestine, Jews, Turkey, and other nationalities that were not disclosed.

According to Turkish police reports, their plans were assassinations, bombings, and information gathering

=====

Haya ni matukio ya kwanza ya majasusi wa Mossad waliokamatwa na polisi wa Uturuki, na walijumuisha mataifa mbalimbali kutoka Palestina, Wayahudi, Uturuki, na mataifa mengine ambayo hayakufichuliwa.

Kulingana na ripoti za polisi wa Uturuki, mipango yao ilikuwa mauaji, milipuko ya mabomu, na kukusanya habari

View attachment 2862465

Sheikh twende tukawashambulie hawa jamaa... Huu uzi wao tukaseme ni hivi ulivyosema wewe. Tukaseme wale ni majasusi wa Israel.
 
Back
Top Bottom