Uturuki yapeleka Vikosi na Drones Somalia, karibu na mpaka wa Kenya

Sasa mbona unalia lia nyie c mnajifanya ndo wababe !!!
Always dont bite more than you can chew”

Mnajaribu kucontrol somalia through divide and rule
Kwa kuongeza ushawishi jubaland....but mnasahau kua somalia n nchi yenye mabwana wengi ikiwemo ethiopia ,uturuki ,USA na nyingine

Sasa pambaneni nyie s ndo israel ya africa mashariki cyo mnalialia
Si eti tunajifanya. It's a fact. Somalia ni taifa changa sana kwa Kenya kudeal nayo. Somalia has no intelligence tutashindwaje kudeal nayo. Mkuu wa majeshi ya Kenya amekuwa huko for two days bila wao kujua lolote. Hilo ni taifa la kubabaisha mtu? Hata ile Jeshi lenu la kuchana mbuga can have a field day in Somalia
 
Labda hatubishi kua somalia haina strong army but chenye tuna uhakika kenya is no match for ethiopia backing of somalia or turkey backing somalia....
Tanzania hatuna haja ya kujieleza mnatujua ndo maana hamna nchi yoyote iliyo wahi kumess up wth this country for decades since independence
 
Of course Tanzania haina haja ya kujieleza sababu dunia yote iliona jinsi wanajeshi wenu walivyochana bunga dhidi ya wanamgambo wa msumbiji
 
Mazoezi ya jeshi la Somalia mpakani na Kenya

Trust Somalia media at your own peril...They are stealing clips from Libya 2015 then claiming they fired anti aircraft missiles at KAF.🤣🤣
 
Whatever the case..hiyo Vita mtapigwa hands down kwa aibu sijui mtajificha wapi..Kaka zenu hatutaingilia..maana najua mwisho wa siku mtakuja kulia Lia.
 
Somalia haiwezi kupiga Kenya. Hata wakiwa na drones za Turkey bado hawatuwezi. Hilo jeshi bado ni hafifu sana.
 
Mzee yetu macho...hiyo Vita akishaingia Uturuki hamuwezi shinda..Marekani mwenyewe mnayemtegemea amejitoa huko Somalia..na hajajitoa kwa bahati mbaya..it seem like it was a coordinated thing..same walifanya Kule Syria..walijitoa wakawaacha wanamgambo waliokuwa wanawapa silaha wapigane Vita solemba, wakaingia Waturuki kuwafyelea mbali hao wanamgambo.
 
And this is what makes you. Mnatamani sana Kenya iingie vita na majirani zake ndio muichafulie jina vizuri. Right now we have issues with Somalia na mnasema jinsi Kenya ni taifa lisilopenda amani na majirani zake. Tukiamua kuemploy diplomacy like we do with Uganda na Ethiopia pia mnakasirika na kusema tuko na Jeshi dhaifu. War is an ugly thing and it's even stupid to wish for it. Not all issues are handled through blood and gun. Kuna mambo yanaongelewa tu na yanaisha.

It's okay to demean Kenyan army like you do coz as a person who lives in a country with its own army, there's no way utasifu za majirani hata kama wenu wanachana bunga dhidi ya wanamgambo. That's being patriotic and I totally understand you
hamna mtu anatamani mpigane vita,sababu hasara itakuwepo hata kwetu jirani zenu.ondoa hizo dhana za kichwawi kichwani kwako.

point iliyopo hapa ni,why kenya everywhere!!!!

kwani nyinyi peke yenu ndio mmepakana na watu!!!halafu hakuna mtu anachafuliwa baada ya kupigana yeye vita,kama tu anapigania haki.
 
Why sisi pekee yetu? The answer is so simple: We are the kingpins of the region. When Kenya coughs, the whole of EA catches a flu
 
heeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

sasa mkakoholee kwenye ardhi ya wenyewe,si mkoholee ndani ya mipaka yenu,mtaendela kubakwa huku mkililia UN.
 
Kumbe hata hujui hata hilo n raia wa kenya.... too sad if u dont know that ...
I have asked a very simple thing from you. Niletee mahali serikali ya Kenya ilisema mlima Kilimanjaro iko kwenye ardhi yake
 
Mzee yetu macho...hiyo Vita akishaingia Uturuki hamuwezi shinda..Marekani mwenyewe mnayemtegemea amejitoa huko Somalia..na hajajitoa kwa bahati mbaya..it seem like it was a coordinated thing..same walifanya Kule Syria..walijitoa wakawaacha wanamgambo waliokuwa wanawapa silaha wapigane Vita solemba, wakaingia Waturuki kuwafyelea mbali hao wanamgambo.
So vita dhidi ya Kenya itashindwa na mturuki au msomali? 😂 😂
Mnafurahisha kweli
 
heeee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

sasa mkakoholee kwenye ardhi ya wenyewe,si mkoholee ndani ya mipaka yenu,mtaendela kubakwa huku mkililia UN.
Ni lini tumelilia UN?
 
So vita dhidi ya Kenya itashindwa na mturuki au msomali? 😂 😂
Mnafurahisha kweli
Somalia coz ndio mtakao pambana nao physically..but strategy atatoa mturuki same Vita ya Azeri na Armenia.
 
Kuna vitu zingine ni upuzi tu, sasa between relations na a rock in a lake, which is more important, you dream the day we will go into war ndio mtu overtake economically, it will never happen
Wakenya wanauliwa na kuteswa Migingo, hamna jeshi la kupigana na nchi yoyote hapa EA ndio sababu hamna uwezi wa kuwajibu waganda, mbona Alshabaab walicyovuka mpaka na kuwateka watalii mlipeleka jeshi lenu dhahifu?
 
Wao ndio wanatuchokoza. Nini ngumu kuelewa hapo?
Hiviajeshi ya nchi jirani yanavamia ardhi yenu(Migingo) na kuwapiga raia wenu na wengine kupoteza maisha, hamuwezi kulinda ardhi yenu na raia wenu bado mnasema mko na jeshi, kazi ya keshi ni ipi kama sio kulinda mipaka ya nchi yenu?
 
Back
Top Bottom