UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

Hivi kwanini tunalalamika juu ya uhuru wa mfanyabiashara? Kwani unaamini kuna UHURU wa mwandishi dhidi ya matakwa ya mfadhiri? Yaani mwandishi aandike habari inayotishia kibarua chake? Wewe ungeweza? Umma haupewi kila habari ila ile iliyoamriwa tu.
Sasa kwanini wametangaza habari za kukamatwa kwake?. Waache unafiki. Halafu Kama kutangaza habari za upinzani ni kosa kwanini wasifute mfumo wa vyama vingi tubaki na CCM pekee yake?.
 
We bi mdashi umri wako mkubwa lakin upo busy humu unajibizana na wajukuu
Nawashngaa nyinyi vijana wenye umri mdogo mnaoshinda na kukesha mimi humu kutwa kucha. Hamfahamu kutafuta pesa?

Mimi nashukuru kufahamu kutumia hizi teknolojia kwa sababu napata bonge la pastime hapa.
 
Hivi vyombo vya habari na wanahabari wanafiki, inabidi kuvisusia vyombo vyao na wanahabari njaa wao.

Uanahabari ni kati ya tasnia hovyo kabisa zinazoendeshwa na watu wasiojitambua wala kuuthamini utu wao.
Mnawaonea nao wako kwenye kibano.
 
Juzi kati napenauye alimpiga mkwara milady ayo asirushe waraka wa ROMAN .... keakifupi hatuna vyombo vya habari huru tuna watu wenye njaa kali kwwny tasnia ya habari
Kwani lazima kila myu akiharisha mavi yatapakazwe pote?

Ina maana Nape ana nguvu kuliko TEC?
 
Mfanyabiashara makini anaelewa na kujali flow ya audience na mapato yake.Anafuata ni nini watazamaji wanachopenda kusikia na kuona.Hamlazimishi mtazamaji yeyote kutune tv yake kwa hiyo mlalamikaji ana uhuru wa kuchagua chanel anayoyoipenda kwa sababu remote iko mkononi mwake.
Kama hawataki kutangaza habari za Lissu wasitangaze kabisa. Kuchagua ndio Nini, walaji ni wavyama vingi Kama walaji wao ni CCM waungane na redio uhuru.
 
Wateule hutoka kwenye baadhi ya media,hivyo wengine husaka teuzi. we
 
Dawa ni kupuuza hizo Media zinazoegemea upande wa mmoja tu wa CCM.

Unaacha tu kuzitazama.
 
Back
Top Bottom