UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

Zoea kaka iyo ni mirengo ipo duani kote, uwezi kupinga penye maslai yako.
Tafuta pro chadema media ukidh kitu yako ya kupata hbr za upande huo
 
Mbona Media zote ziko hivyo hivyo tu Tanzania hii.

Kutokuwa huru kwa hizo media si kwa bahati mbaya, watu wanalinda interest zao. Chombo kufungiwa au kupigwa mifaini mikubwa mikubwa kwasababu ya kuripoti habari flani ni hasara kwa chombo husika.

Kama media haziripoti habari, unatakiwa kujiongeza tu, CDM wanatakiwa wawe na magazeti yao, redio na TV ili kubroadcst taarifa zao.

Kuzitegemea hizo media ni kama kusubiri meli stendi.
 
Wahariri wote wa vyombo vya habari wamelamba $100,000 toka DP World hivyo siyo rahisi watoe habari za Chadema.
 
Back
Top Bottom