UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

Tosheka.
Ukirupoti wewe hapa inatosha, ridhika.
 
Ndio maana Nape nauye waziri wa Habari ndiye waziri anaeongoza kwa kuchukiwa na wananchi.
Ameiharibu kabisa tasnia ya habari.
Ni huyu huyu enzi za mwendazake alizima bunge live kwa wananchi.
Ni mtu anajiweka mwenyewe kwenye ujuaji wa kijinga kufikiri watanzabia ni mifugo yake.
 
Lile jamaa ni 0 brain kabisa. Linazidiwa na Makonda mbali sana.
 
Channel gani huwa inarusha habari za CHADEMA? Usiwalaumu UTV ni channel zote za bongo hazirushi habari zao
 
Katoliki hawahitaji wahuniiiii kuwaandikia habari zao kwenye jumuiya kila wakati tunasoma, bangaladeshiiiiii
 
Mimi ni mwislamu ila nachukia sana ubaguzi wa kidini wanaonyesha Azam tv na stesheni zao uchwara. Azam media ni ubabaishaji tu media imejaa ubaguzi kuanzia wafanyakazi hadi kwenye kuhudumia wateja
 
Kwani chadema tv inarusha Habari za ccm?
 
Siyo hao tu, inaelekea vituo vyote vililipoti ili kuwatisha watu.
 
UTV ni ya muislam hawawezi kuripoti waraka wa TEC tukisema hivyo wanaelewa zaidi.
 
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Hivi vyombo vya habari na wanahabari wanafiki, inabidi kuvisusia vyombo vyao na wanahabari njaa wao.

Uanahabari ni kati ya tasnia hovyo kabisa zinazoendeshwa na watu wasiojitambua wala kuuthamini utu wao.


Kuna madaktari ni wabakaji lakini hii haifanyi madaktari wote kuwa wabakaji.

Tabia ya mtu sio kiwakilishi cha fani/ kazi yake.


Tuheshimu kazi za watu na Utu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…