Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hawa ndo wanamsifia Dikteta Samia kuwa ni mtu wa demokrasia?
✔️Serikali itawazuia kabisa.
Ni chawa yule sio mambo!Mamba ni wewe?
Hivi chawa akizeeka anakuwaje? Huyu atakua chawa aliekubuhuWe bi mdashi umri wako mkubwa lakin upo busy humu unajibizana na wajukuu
Unamaanisha UTV ni CCM Tv?Kwani chadema tv inarusha Habari za ccm?