Uume kupinda ni tatizo au kama ni tatizo msaada please

Genius ninasema uume upinda kuelekea upande dhaifu mfano kama wewe una tumia mkono wa kulia uume unaoinda kuelekea kushoto na kama wewe unatumia mkono wa kushoto uume upinda kuelekea kulia...sababu ya uume kupinda inaanzia hapo..sasa wewe jiulize uume wako umepinda kuelekea wapi ?kama ni kuelekea kulia basi wewe ni mtu wa mashoto na kinyume chake ni hivyo hivyo ...basi kuna sababu hapo kwanini uume upinde kwa kuangalia mkono wa kulia au kushoto ...ninatoa homework ya kuangalia mwelekeo wa uume kulingana na hiki nilicho fundisha ...kisha nitakuja na sababu ni nini na tibayake ni gani?
 
Natumia mkono upande wa kulia na uume wangu umepinda upande wa kushoto
 
Inabidi kuifunga PoP hiyo mkuu ili unyooke uweze kufurahia style
 
Mhhh, hali hii ni kawaida kwa wanaume mashoga. Wanaposhikishwa ukuta wanakuwa wanavutwa mboo na mabasha wao mwisho wa siku mboo inapinda.
Ni wao alafu sio kila mtu mwenye tatizo mnafikiria ushoga mm toka na balehe uume ulikuwa unapinda nikiwa nadindisha nikafikiria ni hali ya kawaida badae itapotea nikiwa mkubwa bado naona ipo vile vile
 
Lipia tangazo.
 
Natumia mkono upande wa kulia na uume wangu umepinda upande wa kushoto
Natumia mkono upande wa kulia na uume wangu umepinda upande wa kushoto
Ulipo kuwa na umri chini ya miaka 14 uume wako ulikuwa umenyoka kabisa uume unaanza kupinda kuanzia huo umri wa miaka 14 kwenda juu na sababu zake ni punyeto hasa ya kulala kifudi fudi ni ngumu mtu asiye piga punyeto uume wake upinde kulekea kushoto au kulia ...wale watu wanao andikia kushoto wakati wa kupiga punyeto nguvu ya mkono wa kushoto ufanya misuli ya kushoto ya uume kuwa inavutika zaidi ya ...ya kulia hivyo uume unapo jaa damu kushoto kuna refuka kuliko kulia na kusababisha uume kuelekea kulia...na wanaume wanao andikia mkono wa kulia ni hivyo hivyo .. wanapo piga punyeto kwa mkono wa kulia misuli ya uume ya upande wa kulia inakuwa inavutika kuliko kushoto hivyo damu inapo jaa kwenye uume kulia kuna refuka zaidi ya kushoto na kusababisha uume kupinda kuelekea kushoto ..
Njia ya kuufanya unyoke ni kuufanyisha mazoezi ya kuupinda kuelekea unyoofu wakati uume unapokuwa umeufanya udinde ndani ya miezi 3 tu utakuwa uume umenyooka kwa asilimia 60...ukiendelea ndani ya miezi 8 utakuwa umenyoka kabisa na ukiendelea zaidi unaweza kupinda kuelekea upande wa pili kinyume na ule wa kwanza ...fanya hayo mazoezi mara kwa mara kwa siku ..tena uume ukifanikiwa kunyoka urefu wake utaongezeka kama nusu inch au inch moja hivi.
 

Tumia tafsida mkuu kuna madogo wa buku mbili humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…