Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Unapata wapi ujasiri wa kupiga kavu tena kwa mtu uliyekutana nae tu. Si ajabu ndani una mke unataka kumuua mtoto wa watu na ngoma kwa tamaa za kijinga? Acha ngono zembe ukishindwa tumia zana Ili kujilinda wewe na watu wako wa karibu.

Nenda hospitali utapata tiba.
 

Ushapata gono...

Nenda hospitali kijana kabla hujapata ugumba...
 
Kachome penadul
 
Tombeni mademu Wasafi na wasio Malaya kuna Siku Vimboro vyenu Vitaoza na Kukatika kabisa kwa kutokuwa makini.
 
Kwanza jamaa anamoyo. mwanamke mwenye gono ukisukumia dk moja tu lazma uzimie kwa harufu inayotoka. Bora tuendelee kupiga master tu. Unaweza kutema mate mwaka mzima kwa harufu ile. Wazinzi mnamoyo jamani. Unakuta jitu linasema hamna starehe nzuri kama mapenzi. Ni starehe au uchafu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…