Kwanza pole sana kwa yaliyokuluta, hiyo ni ajali kazini. Kuwa makini sana na baadhi ya mashangazi, wengine sio!. Umekumbwa na tatizo la gono sugu inayosababishwa na bacteria aitwae Naiseria ambaye ni sugu kwa antibiotics za kawaida, na kwa huyo shangazi, wala yeye hajijui kuwa anae, yeye ni carrier tuu!.
Tiba yake, ni sindano au kidonge cha antibiotics ya ceftriaxone.
Usirudie tena kuparamia mashangazi peku peku, maana hatari kubwa sio gono, bali ni una riski kukutana na ngoma!.
Mimi kama kaka mkubwa nakushauri, usiparamie paramie madude, tafuta mahali tulivu ujitulize, na ukikutana na mazingira ya uvumilivu umekushinda, vaa zana ndipo uingie uwanjani kwenye mechi, hivi mechi za mchangani, unapiga kavu kavu sio dili!.
Acha kabisa!.
P
P