Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU
Ukate huo uume.Utashindwa kuingia mbinguni kwa vitu vidogovidogo.
 
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU
Oyaaaa Umeyatimba
Man hiyo gono, nenda hospital kacheki watakupa dawa na ushauri pia
 
Kwanza pole sana kwa yaliyokuluta, hiyo ni ajali kazini. Kuwa makini sana na baadhi ya mashangazi, wengine sio!. Umekumbwa na tatizo la gono sugu inayosababishwa na bacteria aitwae Naiseria ambaye ni sugu kwa antibiotics za kawaida, na kwa huyo shangazi, wala yeye hajijui kuwa anae, yeye ni carrier tuu!.

Tiba yake, ni sindano au kidonge cha antibiotics ya ceftriaxone.

Usirudie tena kuparamia mashangazi peku peku, maana hatari kubwa sio gono, bali ni una riski kukutana na ngoma!.

Mimi kama kaka mkubwa nakushauri, usiparamie paramie madude, tafuta mahali tulivu ujitulize, na ukikutana na mazingira ya uvumilivu umekushinda, vaa zana ndipo uingie uwanjani kwenye mechi, hivi mechi za mchangani, unapiga kavu kavu sio dili!.
Acha kabisa!.
P
P
Shukran mkuu
 
Aisee pole sana! Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Nimekuhurumia sana.
Pambana na hizo antibiotics pamoja na sindano ila kama utamaliza tena dozi bila mafanikio ama ikajirudia tena kwa muda( huwa inatokea).Nitafute hapa nitakupa njia nyingine superior zaidi.
Jitahidi sana kuvaa kondomu ndugu yangu.Starehe ya sekunde chache inaweza kukupa mateso ya muda mrefu.
 
Kuna vidonge fulani hivi, vina rangi ya pinki na nyeusi, nimesahau jina + maji mengi; tatizo litaisha, ila nenda hospitali au maabara iliyo karibu nawe.
 
Back
Top Bottom