Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Hilo sisi wakongwe yaani ukiliona tu ..chap pharmacy hata elfu 10 haifiki..siku Tano nyingi .... Limeshakata Kuna dozimchnganyiko hiyo ya kuitwa STARTER... noma sana..ila tunatakiwa ule ushibe pale unapopiga vidonge vya kwanza metronidazole 10,azuma 2 na cefixime gram 400. Noma sana.... Baada ya hapo mtelemko tu unamalizia asubuhi azuma 1 na unaanza dozi ya doxycycline chaap Kwa haraka....
Hatari sana dadeq😂😂😂
 
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU

Rudi kwa shangazi akupe dawa
 
Kwakwer jamaa atakufa siku sio zake apa kila mtu tabibu
Kupata gono sio kupata ukimwi ... ukimwi hatupeani kama barua Kwa dispatch huu hapa sign hapa ..kwamba ukishagonga tu unao ...tungeshakuwa nao zamani sana yani..... Msimtishe kijana kikubwa apime.. atulie sio kila ukiuza mechi basi umeupata ....ingekuwa balaaa... Nani hajawahi kupigwa mbichi ama kupiga mbichi humu!?? Wote mnao!?? ....
 
☝️Apa
 
Kaka nenda hospital kachek, Kisha waambie wakupe dawa hizi (kama Sabababu ni kulala na lishangaz hilo)
1. Diuretics
2. Antibiotic zenye penicillin au sulfa ndani yake
3. Anti-inflammatory kama aspirin, ibuprofen na kadhalika
Lakini husababishwa na fangas pia, dawa akupe anti fungal
 
Kupata gono sio kupata ukimwi ... ukimwi hatupeani kama barua Kwa dispatch huu hapa sign hapa ..kwamba ukishagonga tu unao ...tungeshakuwa nao zamani sana yani..... Msimtishe kijana kikubwa apime.. atulie sio kila ukiuza mechi basi umeupata ....ingekuwa balaaa... Nani hajawahi kupigwa mbichi ama kupiga mbichi humu!?? Wote mnao!?? ....
MKuu umeongea kitu cha msingi sana nyinyi ndio watu mnaostahili kubaki hapa jf
 
Anza kuimba parapanda inalia parapandaaah.Na uendw hospitali
 
Wakuu naombeni msaada, nilipiga show ya ovyo na mshangazi mmoja bila dhana matokeo yake ni hayo nikienda haja ndogo napata maumivu.

Na pia uume wangu unatoa usaha rangi ya njano kila muda. Nimetumia AZUMA vidonge vitatu lakini bado sijaona dalili ya kupona NA HIZO DAWA NIMEMALIZA JANA.

Nini cha kufanya niendelee na dozi au?

MSAADA WAKUU
Gono au kaswende
 
Kitu na boksi hiyo
 
Back
Top Bottom