Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

Gono iyo na ukichelewa Mashine itakatika katikati upakiwe na kipisi.
Wahi mapema ukachome Power cef
 
Kapige kura kwanza
 
Kapige kura kwanza
 
Nenda hospitali
Mara ya mwisho ku uto mba lini?
 
Hey mtoa mada ulishapata tiba? Ni dawa ipi imekutibu mana hapa najiona kabisa nna hako ka kitu afu vipi ile hali ya kupata maumivu ukiwa unakojoa inapotea kwa muda gani baada ya kunywa dawa?
 
Nenda hospital ukachome na sindano… ni gono ilo
 
Kuna manzi zingine sijui zinataka tufe wote ile nimelala nayo tu asubuh naona mboo imeanza kuuma nikajisemea ni maumivu tu ya kawaida nikavunga siku ya pili after shoo naona maumiv yanazidi nikasema ngoja niangalie kuna nini kuchek nakuta vi maji vizito kama usaha nikasema hapa tayari kimeumana for truth sijawah kupata magonjwa yanayotokana na ngono ata UTI tu sijawahi kuumwa aisee fasta nikamchek huyu manzi kwamba umewahi kupima kisonono akasema hajawahi nikamwambia uende ukapime utibiwe,, but inakela sana hawa manzi sijui wanashida gani sijui ndo wanapigwa adi na washenzi sirudii kupiga kavu WALLAH.
 
Pima kaswen
de au gonolea.

Nenda na mwenzawako mkatibiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…