dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Cdm haihitaji kuaminiwa na mbululaz kama weweJengeni ofisi ya kueleweka hili hata sisi wengine tuwaamini, Chama kinataka kupewa nchi kinashindwa hata kuwa na jengo la kueleweka, hizo milion 300 mia 3, kila siku kulipia fain mahakamani mnashindwa kutumia akili mkajenga ofisi nzuri na kubwa tuu.Mnaonekana wababaishaji kwa Watanzania wengi.
Cdm haihitaji kuaminiwa na mbululaz kama wewe
Halafu tusingejua kama kweli CDM bado ina wafuasi na wanachamaKapesa kadogo tu hako jamani hadi msumbue watu kuchanga? Mbowe na lema wangemaliza fasta
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Wewe ni marehemu kwani? Kukuita mbulula sijakosea, maana kama huwezi kuamini ofis iliyopangishwa hujui chochote kuhusu ofisi na majengo. Mtu kama wewe tukija kukuambia kuhusu mambo makubwa ya inchi huwezi kuelewa.Haya ndio mwisho wa akili zenu sio ? Matusi , kutukana mpaka Marehemu , sidhani kama kuna mtapewa Nchi nyinyi kwa akili zenu zilipofikia 🥸
Mi sio ccm ila chadema wanastahili yote wanayopitia.CCM inawaona CHADEMA ni maadui wasiostahili heshima, kuthaminiwa wala kuishi.
Uvccm wana cha kujifunza hapa! Maana wenyewe wako busy tu kupigana majungu, kushughulikiana, kutukana wakubwa zao, kurogana, kumsifu na kumuabudu mtukufu wao aliyetutoka hivi karibuni,nk.