Binafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe .
Ulimi hauna mfupa
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
Kesho nitafika Mbeya naomba uandae mazingira hapo Desderia nitakuwa Mbeya kwa siku tatu.
Yes, wala hakupaswa kuwa na muda wa kuomba radhi[emoji23]Huyo alitakiwa awe ameshatumbuliwa mpaka sasa hivi sijui Rais anasubiri nini, haya mambo ndio yanafanya Rais aonekane haiwezi ile ofisi, too slow to react.
Mkuu tunapangiana hata mahala pakulala?Mkuu si ukalale kwenye ofisi za ccm mkoa? Au uzalendo umeanza kupungua baada ya dhalimu kuelekea motoni?
Madhara ya kufikiri kwa makalio.Mnyarwanda utamjua tu, inshort unajichosha sana kushindana na mtanzania wakati wewe ni mrundi.
Mkuu tunapangiana hata mahala pakulala?
Ahaaaa, wazalendo uchwara?Wazalendo uchwara kama ww mnatakiwa mkalale kwenye ofisi za ccm.
Yes ww ni mzalendo uchwara. Mbona hujaanzisha mada kuhusu cdm jioni hii ili ikuongezee imprest ya kwenda kuhongea machangudoa huko Mbeya?Ahaaaa, wazalendo uchwara?
Anaitwa RichardHamna kiongozi hapo kwa hiyo alitukana huku akiwa amefunga yupo kwenye mfungo...kazi ipo aisee
Alisema "kaa kimya we matako" kkkkkToa makalio yako hapo!
nisome ndani ya mistari mkuuMkuu umeanza kutetea wahuni wenye ulevi wa madaraka lini?
Ingekuwa vema wakati anatuomba radhi avae Suti na si kanzu na kofiaBinafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mu amsamehe .
Ulimi hauna mfupa
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033
Akijiuzulu atakosa mafao na atatakiwa arudishe one month salary ngoja atapangiwa kazi nyingineAngejiuzulu ingekuwa vizuri, hii nchi mbona viongozi hawawezi kabisa kuwajibika? Yaani angejiuzulu tu,saizi ataondolewa
Ahaaa, sina mbavu hapa, ngoja nilale tuYes ww ni mzalendo uchwara. Mbona hujaanzisha mada kuhusu cdm jioni hii ili ikuongezee imprest ya kwenda kuhongea machangudoa huko Mbeya?
KWANI PDF YAO TAYARIAngejiuzulu ingekuwa vizuri, hii nchi mbona viongozi hawawezi kabisa kuwajibika? Yaani angejiuzulu tu,saizi ataondolewa
Haaahaaa.....huyu itakuwa alijisahau alifikiri bado yupo enzi za mwendazake au alikuwa anatest mitambo🤣🤣🤣Hiki ni kipimo cha uimara wa ofisi kuuBinafsi nimemsikiliza na nimeamua kumsamehebila masharti yoyote na nawaomba wadau wote wa JF mumsamehe .
Ulimi hauna mfupa
Zaidi soma: Mkuu wa Wilaya Iringa, Richard Kasesela amtukana dereva bajaji mbele ya vyombo vya habari
View attachment 1764033