Uungwana ni vitendo: Je, CHADEMA watarudisha Tsh. 38 milioni zilizotolewa na hayati Magufuli kumtoa Msigwa jela?

Umesikia mtaala mpya wa somo la historia alilopigia upatu bwana yule ili asomwe vidato vyote kuanzia chekechea limefutwa?
Hili ni swali au taarifa? Kama ni taarifa funguka
 
Hao matapeli wa ufipa sidhani kama watafanya hivyo.
 
Wao kama individual wanawajibu wakutoa akaunt ya chama zirejeshwe humo.zilitokana na wanachama mmojammoja
 
Na Magufuli arudishe ngapi, wapi na vipi kwa kutusababishia sisi walipa kodi hizo costs kwa maamuzi ambayo leo yanabadilishwa ?

Na huyu anayabadilisha leo, kesho yatabadilishwa ? Hivi ni lini wananchi tutaacha kuchezewa ? Hatuhitaji watu tunahitaji taasisi na wananchi wenye uelewa; hilo la mwisho ingawa litachukua muda ila inabidi tuanze kwa faida ya vizazi vijavyo...
 
Wataenda kuongezea zege kwenye kaburi lake ili ata siku ya ufufuko ashindwe kutoka afe Tena. Ikiwezekana resho ya sementi waeke Kali sana yani mifuko 2 ya sementi kwa ndoo 5 za mchanga
Kawaida ndoo 5 cha mchanga zinataka cement kiasi gani?
 
Magufuli na mahakama wapi na wapi bwashee?
 
Wataenda kuongezea zege kwenye kaburi lake ili ata siku ya ufufuko ashindwe kutoka afe Tena. Ikiwezekana resho ya sementi waeke Kali sana yani mifuko 2 ya sementi kwa ndoo 5 za mchanga
Duuuh!
 
Magufuli na mahakama wapi na wapi bwashee?
Mahakama kama ni ile ile ni nini kimetokea tangia wakati huo na sasa ?

Ni kwamba alifuta kabisa Separation of Powers, vyote vikawa kama kitu kimoja (yeye); Alishasikika akishangaa Serikali inashindwaje Kesi !!!!
 
Mahakama hama ni ile ile ni nini kimetokea tangia wakati huo na sasa ?

Ni kwamba alifuta kabisa Separation of Powers, vyote vikawa kama kitu kimoja (yeye); Alishasikika akishangaa Serikali inashindwaje Kesi !!!!
Mahakama kuu na mahakama ya Rufaa ni vitu viwili tofauti bwashee!
 
Wafanye wawezavyo waanze ujenzi wa ofisi ya kudumu ya CDM....350mil kiwanja na structure inaanza ....
 
Alimpa Nani?
 
Wataenda kuongezea zege kwenye kaburi lake ili ata siku ya ufufuko ashindwe kutoka afe Tena. Ikiwezekana resho ya sementi waeke Kali sana yani mifuko 2 ya sementi kwa ndoo 5 za mchanga
Nakazia
 
Baada ya machungu ya kukosa uteuzi kwenye UDC Jo umerudi na post zako za uchuro dhidi ya CHADEMA!
Hivi hukomi tuu?
Hivi hujifunzi tuu?
 
Kiungwana Msigwa anatakiwa kurufisha ile pesa. Ni kama umechangiwa hela ya arusi halafu ukahairisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…