Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

Kuna tofautuli kati ya Dola na Dollar
 
Maswali yangu kwako
1) Tanzania kuna janga ambalo limepelekea serikali kuuza akiba ya dhahabu

2) Una proof gani ya kuwa hiyo miradi ya maendeleo itavuta investment opportunities ndani ya Taifa letu?
1) lengo kuu ndo hilo lakini inategemea kwa mfano, chukulia china yeye reserve zake ziko kwenye mfumo wa deni la marekani akiwa anakula interest, so badala ya pesa kukaa apo inasubiria jangwa unaweza tumia akili ya ziada
-> kuuza dhahabu ni kitu cha kawaida kwan sisi reserve zetu zinakuaga dola cash reserve ya dhahabu ilianza tu majuzi kipindi cha magu kama extra but kuweka eti pesa imekaa apo tu inasubiria majanga huo ni ushamba

2) ukiwa mfanya biashara utaelewa kwann watu wanaanza hawana kitu na wanakuja kua na hela mwishon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…