Binafsi nimeliona hilo mara kadhaa, hata mimi pia niliingia kwenye mfumo dakika tano kabla ya mauzo lakini ulipofika muda wa mauzo mtandao ukagoma.
Hali hii utokea kwenye viwanja ambavyo watu wanakuwa wanamipango yao tayari, kuthibitisha hilo viwanja hivyo vizuri bei ya uwa inakuwa chini sana.
Yaani wanajiwekea kete mdomoni ni mwendo wa kujisogezea, kama uaminini angali bei ya hivyo viwanja viwili vya mwisho na bei ya viwanjo vilivyouzwa eneo hilohilo utagundua utofauti mkubwa.
Sisi tuendelee kupambana na viwanja vya maeneo mengine tu, ila viwanja vizuri wenye mfumo wao wanafanya yao mapema.