UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

Hawanaga akili,hawajawahi kuwa na akili na hawatokuwa na akili
 
Wakuu naomba mwenye ile clip ya Kabudi anamwita Magufuli aiweka hapa tafadhali
 
Hao vijana ni wahuni, eti ndio wanategemewa kuja kuwa viongozi wa ngazi za juu, kwa jinsi wanavyokufuru si watasababisha nchi ipigwe na majanga? Shame on them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…