UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

hayaland

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
712
Reaction score
399
uv ccm.jpg

Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii. Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Mkuu vijana wa CCM wanapost kile cha muhimu tu. Hawapost kila kitu. Mfano, ebu angalia walichopost Chadema leo kuhusu kampeni za Lissu Babati halafu uniambie kuna kitu gani cha maana.
 
Wako uchumi wa Kati wanakula shushuu

Unawaonea sio wamelala hawana chakuandika! kuna lipi la maana au waandike kuhusu madaraja yasiyosaidia kuondoa mafuriko
 
Siyo kwamba wamelala bali wamezidiwa kwa mbali sana. Huwezi kulinganisha wanaotetea maovu, udhalimu, udhalilishaji, ubaguzi, wizi, ufisadi n.k. na wanaotetea HAKI, UHURU, AMANI, maendeleo ya kweli kwa raia.
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
 
Sasa mtu kama gwajima mzee wa uno utamteteaje kama sio kujidharirisha tu.

Wajibu hoja wenyewe ni polepole ambaye ana njaa mpka kwenye ubongo.

Jpm nae kila siku flyova na sgr hana jipya..mara leo vitambulisho lazima mara kesho sio lazima.

Watu kama hawa una wabebaje kwa mafano..bora tukae kimya tu mana inaumiza na ina kera sana wao wanaishi maisha mazuri sisi tunarudi kupambana na mama mwenye nyumba..wao wanajengeana mi mansion tu.

Inauma sana.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtu aliyekuja kutoka huko Ubeleji,si wa kawaida,yuko kama nyati aliyejeruhiwa.
Ana hoja zilizoshiba,wala hazijibiki,ana ujasiri wa kusema ukweli bila kuogopa kitu chochote hata JIWE,anazifahamu sheria vizuri kuliko hata hao waliozitunga,na anakubalika kwa wananchi wote isipokuwa UVCCM,POLICCM,NECCCM NA TISSCCM.
Na mwisho amedhamiria kuvunja kofuli la ikulu na kuimwaga pombe yote na kuukomesha kabisa ULEVI wa madaraka kwa kuandika katiba mpya.
 
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.

Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.

Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.

CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.

Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.

TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Uvccm maji ya shingo!! ccm wachoka kuanzia jiwe hadi uvccm! hawana hoja, bali wanavihoja!!
 
Mkuu vijana wa CCM wanapost kile cha muhimu tu. Hawapost kila kitu. Mfano, ebu angalia walichopost Chadema leo kuhusu kampeni za Lissu Babati halafu uniambie kuna kitu gani cha maana.
Mnachokipuuza ndicho kinachowapeleka shimoni japo ukweli ni kwamba, katika kila vijana 100 uvccm ni 10 tu huku ndani ya hao kumi waliokunywa maji ya bendera ni wawili tu.

Kibaya zaidi hawaonekani sababu jiwe hauziki, habebeki, amechokwa vibaya sana na watanzania alafu kibaya zaidi akiwa kwenye majukwaa anaongea utumbo utadhani kalogwa au hana akili timamu.

Sasa mtu kama jiwe utakuwa na hoja gani ya kumtetea hata kama umejitoa ufahamu? Katika eneo nilipo hapa Arusha mtu aliyenivutia na mwenye hoja ni diwani tu! Mrisho gambo pamoja na magufuli nawaonea kinyaa
 
Back
Top Bottom