Mkuu vijana wa CCM wanapost kile cha muhimu tu. Hawapost kila kitu. Mfano, ebu angalia walichopost Chadema leo kuhusu kampeni za Lissu Babati halafu uniambie kuna kitu gani cha maana.Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.
Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.
Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.
CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.
Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.
TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA

Mmenyang'anywa zile mlizopewa na kufanya kuwe na ID mpya maelfu kuanzia mwezi wa June mwaka huu 2020!?Hatuna smart phone mkuu
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.
Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.
Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.
CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.
Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.
TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Unawaonea sio wamelala hawana chakuandika! kuna lipi la maana au waandike kuhusu madaraja yasiyosaidia kuondoa mafurikoNimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.
Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.
Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.
CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.
Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.
TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.
Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.
Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.
CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.
Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.
TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Uvccm maji ya shingo!! ccm wachoka kuanzia jiwe hadi uvccm! hawana hoja, bali wanavihoja!!Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.
Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.
Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.
CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.
Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.
TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA
Mnachokipuuza ndicho kinachowapeleka shimoni japo ukweli ni kwamba, katika kila vijana 100 uvccm ni 10 tu huku ndani ya hao kumi waliokunywa maji ya bendera ni wawili tu.Mkuu vijana wa CCM wanapost kile cha muhimu tu. Hawapost kila kitu. Mfano, ebu angalia walichopost Chadema leo kuhusu kampeni za Lissu Babati halafu uniambie kuna kitu gani cha maana.