Kama kawaida yetu CCM, hatujibu "mere allegations". Sisi tunatumia mitandao kuomba kura. Na tutazipata na tutashinda.Mnachokipuuza ndicho kinachowapeleka shimoni japo ukweli ni kwamba, katika kila vijana 100 uvccm ni 10 tu huku ndani ya hao kumi waliokunywa maji ya bendera ni wawili tu.
Kibaya zaidi hawaonekani sababu jiwe hauziki, habebeki, amechokwa vibaya sana na watanzania alafu kibaya zaidi akiwa kwenye majukwaa anaongea utumbo utadhani kalogwa au hana akili timamu.
Sasa mtu kama jiwe utakuwa na hoja gani ya kumtetea hata kama umejitoa ufahamu? Katika eneo nilipo hapa Arusha mtu aliyenivutia na mwenye hoja ni diwani tu! Mrisho gambo pamoja na magufuli nawaonea kinyaa
Hizi tabia zenu za kikenge ndizo zitawatoa damu tarehe 28 October mwaka huu!Kama kawaida yetu CCM, hatujibu "mere allegations". Sisi tunatumia mitandao kuomba kura. Na tutazipata na tutashinda.
Na wao wanamkubali sema njaa na kujipendekeza hawana namna..naamini kabisa watampigia kura TAL mana kura ni siri mana na wao wanataka ukombozi.Huyu mtu aliyekuja kutoka huko Ubeleji,si wa kawaida,yuko kama nyati aliyejeruhiwa.
Ana hoja zilizoshiba,wala hazijibiki,ana ujasiri wa kusema ukweli bila kuogopa kitu chochote hata JIWE,anazifahamu sheria vizuri kuliko hata hao waliozitunga,na anakubalika kwa wananchi wote isipokuwa UVCCM,POLICCM,NECCCM NA TISSCCM.
Na mwisho amedhamiria kuvunja kofuli la ikulu na kuimwaga pombe yote na kuukomesha kabisa ULEVI wa madaraka kwa kuandika katiba mpya.
Watanzania wenye akili timamu wataamua. Nitakukumbusha hili Rais Magufuli atakapotangazwa.Hizi tabia zenu za kikenge ndizo zitawatoa damu tarehe 28 October mwaka huu!
Sema Ile posho ya buku saba imebaki hero kwa sikuUngejua tulivyo imara ,tupo tunaandaa sherehe ya ushindi kila eneo
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mgombea wa ccm hana mvuto ndiyo maana hata uvccm wanashindwa kumtetea. Akipqnda jukwaani anaanza kukoroma kama vile kapandwa na majini..."Nileteeeni Gwajima × 4"
Tuandike Nini hasa? Baba zetu ambao ni wajumbe waliwakataa wagombea ambao wanawafahamu lakini mwenyekiti kawarejesha kwa wajumbe as if wao hawakutumia busara! Tuandike juu ya dharau hii kwa wajumbe?Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii.Kila post ni vyama vya upinzani tu.
Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na mitandao mingine ya kijamii ikiwemo Jamii Forum.
Tunahitaji habari mbalimbali za chama katika mitandao ya kijamii hasa niliyohitaja.
CCM tumelala sana,tunahitaji kupost habari mbalimbali za chama katika mitandao na hakuna kuwaachia upande wa pili kujitawala katika mitandao.
Upotoshaji umetawala sana na watu wa kujibu upotoshaji huo ni CCM na timu yake hasa UVCCM.
TUSILALE JAMANI HUKU NDO KAMPENI ZILIKOHAMIA