UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

Ungejua tulivyo imara ,tupo tunaandaa sherehe ya ushindi kila eneo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Mwambie ukweli tu kuwa nyie hamna uwezo wa kujenga hoja, bali mnategemea vyombo vya dola, hivyo sehemu ambayo nguvu ya dola haifiki mnapoteana.
 
Kunamzee nafanya nae ni pro magufuli acha kabisa.
,sasa njoo umsikie hoja zake anasema magufuli ni mtendaji tu siyo mwongeaji hivyo ni kiongozi mzuri.
Pili anasema lisu hana lolote analojua zaidi ya kelele tu .
Binafsi ni umri wake tu ndo namlimdia ila mzee anazingua kinyama pale staff

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hivi wale Matokeo chanya na Wapwa Tuinuane hazikua project za UVCCM?
 
Reactions: HRT
Kamwulize Zuchu, au Masanja au Magufuli mwenyewe kinachowapata wakijaribu kupost
 
Sheikh ubwabwa alihad sijui nani pale viwanja vya Tang.Pack alifanya nini?
Yaani watu wa propaganda wa Polepole mliookotwa mkipiga debe pale Tandale,Mwananyamala na Mbagala mnazidiwa uwezo hata na Diamond Platnumz!?
 
Pamoja na ushabiki mwingi ulioko kwenye mitandao, hivi umeshawahi kufanya utafiti kidogo tu kujua hao wanaopost sana kwenye mitandao ni watu wangapi?
Mfano mdogo: fuatilia mada zoote hapa Jamii forum za CDM kama kuna ambayo imepata like, au imepata coment kutoka kwa watu wakufika 100 kama ipo naomba ushahidi..
Kwa Great thinker ni kuwa wapo washabiki mahiri wa CDM ambao hawafiki 100 humu Jamii forum. Imamaanisha lipo kundi la watu kwa maelfu humu jamii forum ambao hawajataka kuonesha msimamo wao kwamba wanaunga mkono chama gani
Kazi kwako....
 
Mkuu vijana wa CCM wanapost kile cha muhimu tu. Hawapost kila kitu. Mfano, ebu angalia walichopost Chadema leo kuhusu kampeni za Lissu Babati halafu uniambie kuna kitu gani cha maana.
Vya muhimu ndio vile vya niketeeni mwanamke mweupe
 
Siku zote Tajiri huwa hajiangaishi sana kutaka Kupambana 'Kimaneno' na Kapuku, ila Yeye huwa Kimya tu huku Utendaji wake ukiimarika Kiufanisi.
 
Mambo sio shwari mpka wanalalia waya za fence
 

binti kiziwi nitakukumbusha huu uzi baada ya wiki mbili!
 
Nyinyi ni ufalme uliofitinika, hamna hoja za kujibu kabisaa ndio maana mmelala usingizi wa pono
 
Humu Kuna wapiga udaku kampeni zipo mtaani nyumba kwa nyumba ndo wapiga kura wapo....huyu kibaraka wa mabeberu Hana tofauti na shishibaby na wafuasi wake wanashinda mitandaoni kusambaza udaku
 
Ole Sabaya naye atetea Uhuru na Haki

04 Julai 2020​

DC HAI OLE SABAYA AONDOA ZUIO LA WATU KUTOKWENDA BAR IFIKAPO SAA MBILI USIKU KIJIJI CHA ISUKI​

Wenyeviti wa vijiji waliochaguliwa katika uchaguzi haramu wa serikali za vijiji na Mitaa wa November ndiyo vinara wa kupoka uhuru na haki anasema DC Ole Sabaya .
 
Hawa kenge wanatupoteza wa tz kwa masilahi yao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…