Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi.

Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia ibia kunywa japo muda wa serikali wa kunywa haujafika.

Kwa jinsi wanavyoonekana hawa wakaka wanavutiwa mno na hawa mabinti jinsi walivyoumbika yani ni full kuwaangalia.

Kumbe wakaka mnapenda nguo fupi zilizoacha sehemu kubwa ya mwili wa mwanamke nje? sasa kwanini wanawake/ wake zenu mnawakataza.

Au nyie mnavutiwa na mavazi gani mwanamke akivaa unasisimkwa?
 
ila mara nyingi hata kama kavaa bikini bado huwa hutuangalii zile sehemu zilizobaki wazi huwa tunaangali pale ambapo bikini imefunika bado tunatamani na yenyewe iondolewe hayo ndio maajabu yetu wanaume.
N:B Sio kwa wanaume wa dar.
Why not wanaume wa dar?? Wa dar wanishia kutamani vya nje tuuu😀😀
 
ila mara nyingi hata kama kavaa bikini bado huwa hutuangalii zile sehemu zilizobaki wazi huwa tunaangali pale ambapo bikini imefunika bado tunatamani na yenyewe iondolewe hayo ndio maajabu yetu wanaume.
N:B Sio kwa wanaume wa dar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmh. Hawaelewekagi hao mwisho wa siku utakuta wenza wao au wake zao ni wanawake wanaovaa kiheshima hata kama sio shungi na magauni marefu basi zile nguo zenye Stara kwa mwanamke.
Mwenzanguuu ila ndo hivyo siku mojaa moja ndani ya nyumba unavaa nguo za kumtoa udenda. Nje usivae hivyo kwa sbb mke wa mtu anaheshima zake
 
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu. Sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi.

Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia ibia kunywa japo muda wa serikali wa kunywa haujafika.

Kwa jinsi wanavyoonekana hawa wakaka wanavutiwa mno na hawa mabinti jinsi walivyoumbika. Yani ni full kuwaangalia.

Kumbe wakaka mnapenda nguo fupi zilizoacha sehemu kubwa ya mwili wa mwanamke nje? Sasa kwanini wanawake/ wake zenu mnawakataza.

Au nyie mnavutiwa na mavazi gani mwanamke akivaa unasisimkwa?
Sasa home noma nimeoa mke anitunzie watto wenye maadili sasa mtt akikuta mama yao anavaa nguo za ajabu wakiiga mwisho wa siku wakinitega nisema shetani hapana ndio waliweka bar ukikosa nyumbani nenda bar utawakuta nguo fupi na ukitaka akuonyeshe zaidi ndio unaongea naye sasa.
 
Waafrika tamaa nje nje! Yaani hadi watoto wako wanaweza kukutega??
 
Sasa home noma nimeoa mke anitunzie watto wenye maadili sasa mtt akikuta mama yao anavaa nguo za ajabu wakiiga mwisho wa siku wakinitega nisema shetani hapana ndio waliweka bar ukikosa nyumbani nenda bar utawakuta nguo fupi na ukitaka akuonyeshe zaidi ndio unaongea naye sasa.
Sure
 
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu. Sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi.

Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia ibia kunywa japo muda wa serikali wa kunywa haujafika.

Kwa jinsi wanavyoonekana hawa wakaka wanavutiwa mno na hawa mabinti jinsi walivyoumbika. Yani ni full kuwaangalia.

Kumbe wakaka mnapenda nguo fupi zilizoacha sehemu kubwa ya mwili wa mwanamke nje? Sasa kwanini wanawake/ wake zenu mnawakataza.

Au nyie mnavutiwa na mavazi gani mwanamke akivaa unasisimkwa?
Ila hao hawaoleki.
 
Cajojo
 
Back
Top Bottom