Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nyinyi wanawake niwatu wakipekee tena mmetuzidi.Ha ha ha ha nyie wababa mnanipa raha sana kwel wanaume ni watu wa ajabu na pekee sana dunian
Wanakera sanaaWanaume ni wabinafsi mno..ukiwaendeza itakula kwako mfano kuna mwingine ukiwa naye utasikia staki nikuone ukivaa wigs au hata kupaka lipstic mdomoni..ila usishangae ukimbamba na sidechick anayevaa mawigs!hawaelewekagi hawa viumbe
Hayo unamruhusu mkeo yenye kimpasuo?Umemtaja mke, ujue hadhi yake ni kubwa mno, anapaswa kutunzwa na kulindwa, ukimruhusu kuvaa kimitego hapo mwanaume unakuwa umefeli katika ulinzi.
Kuhusu kuvutiwa na mavazi nadata zaidi na mavazi ya kitenge yenye kuchora shape, na gauni fupi lenye kijimpasuo.
Hahaha na jirani yako anayemjua mke pia yupo [emoji12] [emoji12]Dada yangu yupo hapa ngoja ninyamaze tu[emoji34] [emoji34]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha na jirani yako anayemjua mke pia yupo [emoji12] [emoji12]
Sisteri ulizia hapo jirani utaambiwa.Tunachomekea sehemu gani braza