Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Ha ha ha ha nyie wababa mnanipa raha sana kwel wanaume ni watu wa ajabu na pekee sana dunian
 
Mwanamke awe amejaa hips alafu avae kisket kinaishia magotin +aweke Blauz aichomekee ,,then awe na guuu !!![emoji23][emoji23][emoji23] ko ko koooooooo nitamuomba nipige naye picha !!.
 
Wanaume ni wabinafsi mno..ukiwaendeza itakula kwako mfano kuna mwingine ukiwa naye utasikia staki nikuone ukivaa wigs au hata kupaka lipstic mdomoni..ila usishangae ukimbamba na sidechick anayevaa mawigs!hawaelewekagi hawa viumbe
 
mwanamke akivaa nguo ya kitenge tu anavutia sana machoni kwangu
 
Umemtaja mke, ujue hadhi yake ni kubwa mno, anapaswa kutunzwa na kulindwa, ukimruhusu kuvaa kimitego hapo mwanaume unakuwa umefeli katika ulinzi.

Kuhusu kuvutiwa na mavazi nadata zaidi na mavazi ya kitenge yenye kuchora shape, na gauni fupi lenye kijimpasuo.
 
Nawashauri mvae maDela .... halafu myachomeke.

Sawa watoto wazuri?
 
HAPO KILICHOVUTIA SYO NGUO. NI MAPAJA NA SEHEMU ZNGNE NYETI.

MI NAPENDA MWANAMKE AJISITIRI ILI NIWE NA UCHU WA KUONA HATA MGUU...
 
Wanaume ni wabinafsi mno..ukiwaendeza itakula kwako mfano kuna mwingine ukiwa naye utasikia staki nikuone ukivaa wigs au hata kupaka lipstic mdomoni..ila usishangae ukimbamba na sidechick anayevaa mawigs!hawaelewekagi hawa viumbe
Wanakera sanaa
 
Umemtaja mke, ujue hadhi yake ni kubwa mno, anapaswa kutunzwa na kulindwa, ukimruhusu kuvaa kimitego hapo mwanaume unakuwa umefeli katika ulinzi.

Kuhusu kuvutiwa na mavazi nadata zaidi na mavazi ya kitenge yenye kuchora shape, na gauni fupi lenye kijimpasuo.
Hayo unamruhusu mkeo yenye kimpasuo?
 
Mi mwanamke avae khanga Moko[emoji39][emoji39]..

Au avae Dera...then yale mambo yetu kidogo yawe yanaonekana..
Au wale wanaopiga ushungi kijisura kinaonekana..

Kuna mtu ana avator yake ipo hivyo nikimuona Roho yangu inasuuzika kweli wallah[emoji39].
 
mi mkristo lakini navutiwa sana na wanawake wanao vaa hivi.
web.ae_.hijab_.DA_-640x455.jpg

ffa0b88e-dcb5-46e7-bd42-183d83d33719_16x9_600x338.jpg

black-cotton-jersey-hijab-model_1024x1024.jpg
 
Back
Top Bottom