Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

mke ni mkandarasi wa familia na hao wengine ni vibarua tuu.....ndio maana tunaacha wajishow watakavyo...
 
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi.

Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia ibia kunywa japo muda wa serikali wa kunywa haujafika.

Kwa jinsi wanavyoonekana hawa wakaka wanavutiwa mno na hawa mabinti jinsi walivyoumbika yani ni full kuwaangalia.

Kumbe wakaka mnapenda nguo fupi zilizoacha sehemu kubwa ya mwili wa mwanamke nje? sasa kwanini wanawake/ wake zenu mnawakataza.

Au nyie mnavutiwa na mavazi gani mwanamke akivaa unasisimkwa?
Akivaa mini skirt Cc Fake P Hope urassa [emoji7] ephen_
 
Napenda demu anaevaa hivi
 

Attachments

  • Screenshot_20240730_082047_Instagram.jpg
    Screenshot_20240730_082047_Instagram.jpg
    126.8 KB · Views: 9
Back
Top Bottom