Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Kwani wewe ukimuona Ng'ombe hana mkia papuchi nje nje huwezi kushangaa. Hao ni sawa na ng'ombe.
Watawatumia na kuwaangalia lakini hawana thamani
 
Avae sket flan hivi ndeefu mpaka kwenye kisigino, harafu asivue mimi nije niikunjie kwa juu halafu mambo yaendelee
 
Blauzi na sketi ndefu, kichwani kanyoa afro ya kisabato choklate flan in color no made body holes with less make up naweza hata kumlipia nauli while tushapanda mwendo kasi hahaaaaa
 
Aisee mim akivaa kikaptula cha jeans kinachobana,na raba,juu tshirt kali halafu kachura kakizushi kapo bas nafarijika sana
 
Mwanamke sijui ameumbwaje!

Ukiona Matiti kwa mbali unapagawa.

Akinyeshewa na Mvua, pale kwenye CHUCHU ukiziona zilivyosimama kwenye Nguo yake ya juu aliyotupia (ambayo imeloa), lazima upagawe.

Ukiona amevaa Nguo inayoonesha Maungo yake, lazima upagawe.

Akivaa Nguo ya kubana, ukaona FITO za CHUPI basi nakuambia Akili lazima ikuruke.

Akivaa Nguo ya kutepeta, akipita mbele yako, kisha akikupa Mgongo, ukiyaona MAKALIO yake jinsi yanvyocheza cheza, nakuambia Akili inakuruka vibaya vibaya.

Akivaa zile sijui ndio wanaita Leggings?!, ukiona kwa mbele KITUMBUA kilivyotuna, au Mstari wa NANILIU, nakuambia lazima upagawe.

Hatari sana
 
Akivaa sket na kale kachura amazing
Yan me hoi aiseee
 
Nipo maeneo flani hapa kuna bar nakula lunch yangu sasa hii bar bwana wadada wanavaa nguo fupi mno yani fupi.

Ila nimegundua kitu kimoja pamejaa wakaka na wababa wanaokula na wengine wanaibia ibia kunywa japo muda wa serikali wa kunywa haujafika.

Kwa jinsi wanavyoonekana hawa wakaka wanavutiwa mno na hawa mabinti jinsi walivyoumbika yani ni full kuwaangalia.

Kumbe wakaka mnapenda nguo fupi zilizoacha sehemu kubwa ya mwili wa mwanamke nje? sasa kwanini wanawake/ wake zenu mnawakataza.

Au nyie mnavutiwa na mavazi gani mwanamke akivaa unasisimkwa?
Hapo itakuwa toroka uje Tabata sanene yaani wadada wa hapo wanavaa nguo fupi za kubana sawa na miili yao hadi utamu wote nje nje
 
Sasa home noma nimeoa mke anitunzie watto wenye maadili sasa mtt akikuta mama yao anavaa nguo za ajabu wakiiga mwisho wa siku wakinitega nisema shetani hapana ndio waliweka bar ukikosa nyumbani nenda bar utawakuta nguo fupi na ukitaka akuonyeshe zaidi ndio unaongea naye sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom