Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Wa mkoani huyo hatakuelewa.
 
Acha uzwazwa, sasa si ndio vzr wanawafariji waombolezaji! Sasa unataka mda wote muwe mnawaza msiba tu, kina dada vaeni tena hata bkn
 
Mhh inasikitisha sana wakuu ,ndio maana uncle nanii alisema tutembeze bakora bila huruma.
 
silaha pekee ambayo wadada wengi wa kisasa wamebaki nayo...kwenye kujikwamua kiuchumi ni miili yao...
ikitokea fursa ya mkusanyiko wa watu,ndipo hutuma kujionyesha kwa kuvaa mavazi tamanishi....tuwazoee tuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…