Uvaaji mpya wa wanawake kwenye misiba unatia aibu

Kuonyesha maungo msibani Ni sawa
 
Kuja na nguo inayoonesha chupi msibani Ni Sawa?
Wacheni kujitia upofu
 
Huu mtindo ulianza like six years back wa kinadada na wamama kuvaa vimini kwenye misiba!
Inasikitisha na kuhuzunisha sana!
Sio kila jambo la wadhungu la kuigwa jamani uwiii!
TUBADILIKE WALAHI!
Unamaanisha mkuu tuanze kuvaa nguo za asili yetu walizokuwa wanavaa mababu zetu ama?
 
Mkuu ungetupia na kapicha japo kamoja ingependeza zaidi
 
Mlikuwa mmekaa karibu na Gardiner habash muda wa kuzika?

Kuna kundi la wadada wa daresalama walikuwa wanapepesa sana macho
Yaani unavyoongea humu ni wazi ulikuwa msibani kutazama na kufuatilia wengine.
 
Huu mtindo ulianza like six years back wa kinadada na wamama kuvaa vimini kwenye misiba!
Inasikitisha na kuhuzunisha sana!
Sio kila jambo la wadhungu la kuigwa jamani uwiii!
TUBADILIKE WALAHI!
Biashara na matangazo popote.Wengine humuendi beach au klabu mtaonaje bidhaa?
 
Utadhani wote humu tulikuwa msibani, weka kapicha tuone hao wadada walivyojiachia
 
Biashara ni Matngazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…