Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Si ndio tumebadilika mkuu. Kwani zamani ilikuwa hivi?Huu mtindo ulianza like six years back wa kinadada na wamama kuvaa vimini kwenye misiba!
Inasikitisha na kuhuzunisha sana!
Sio kila jambo la wadhungu la kuigwa jamani uwiii!
TUBADILIKE WALAHI!
Kweli kabisa,wanaweka level sawa kati ya majonzi na furaha.msiba n shereheWakina dada kuvaa hivo inapendeza kutokana na kuwafariji wale waliofika msibani[emoji1321]
Hajui kama watu walikuwa mwili wote wazi kasoro kwenye shinaSi ndio tumebadilika mkuu. Kwani zamani ilikuwa hivi?
Take a wild guessSi ndio tumebadilika mkuu. Kwani zamani ilikuwa hivi?
Naomba picha nione ulivyovaaKumbe walikuwepo walovaa hivyo? Niliowaona wengi walikua wamevaa suruali. Sema ujumbe tumeupata
Picha zipo wapi?Yes dear
Maness wanaepuka contaminationAta manesi wanavaa min za hatari kuwafariji wagonjwa hahah
Hahahahaa. Acha kunitegaNaomba picha nione ulivyovaa
HazipoPicha zipo wapi?
Hukuwepo basi!.Hazipo
HayaHukuwepo basi!.
Nione ulivyowatesa watu huko msibaniHahahahaa. Acha kunitega
AiseeeWatu wako kazini