Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Aisee.Walosema wewe ni wa kiume ila Unatumia ID ya kike wako sawa
Uyu ni wa kiume,ila anatumia ID ya kike,tumuiteje kwa majina ya siku iz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.Walosema wewe ni wa kiume ila Unatumia ID ya kike wako sawa
Uyu ni wa kiume,ila anatumia ID ya kike,tumuiteje kwa majina ya siku iz?
Okshauri yako
Nakusaka kitandan sikuoni kumbe upo huku wacharurana na watu,hahahaha umenibambaa ngoja nije tuimbe kuch kuch ho tae
ngoja kwanza ndani siendi nimekuta kule umecomment mpenzi wako Nancy sasa ndio michezo gani ? usije ukanigeuza ooh mama patachimbika leoNakusaka kitandan sikuoni kumbe upo huku wacharurana na watu,
Haya tangulia mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana, una haki ya kuogopa, hahahahangoja kwanza ndani siendi nimekuta kule umecomment mpenzi wako Nancy sasa ndio michezo gani ? usije ukanigeuza ooh mama patachimbika leo
Hapana hao watakuwa wa mikoaniachana nao joanah kama tusipoonyeshana mtu utajuaje brand mpya zilizotoka .yaani sikujua wanaume wa dar washamba hivi
Kumbe akiwa na mumewe ila akitoka shurti ajisitiriMwanamke anayempenda mumewe havai chupi.
Duh!Siku hiz hawavai kabisaa baadhi yao yani tako tunaliona Live![]()
hahahaa we acha nilisoma stori humu moja humu ndani hadi leo naogopa ebu nipe kiss la asubuh asubuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana, una haki ya kuogopa, hahahaha
Hapana kujisitiri sio kwa kuvaa chupi bali kwa kuvaa mavazi yenye stara, mfano gauni refu na kufunika kichwa ni mifano halisi.Kumbe akiwa na mumewe ila akitoka shurti ajisitiri
Uyu ni wa kiume,ila anatumia ID ya kike,tumuiteje kwa majina ya siku iz?
HahahaUmekuja na Id nyingine kujitetea, leo umepatwa tulia ikuingie we jamaa
Madada wa humu sikuizi kuna utata kumbe wengi wao ni madume kwa ID za kike
Hivi mpaka karne hii bado kuna wanawake wanavaa chupi?
Kwanza mnapata wapi hela ya kununua chupi?
Ndio maana hatuendelei.
Una uhakika nina mke na dada zangu?kwa hiyo mkeo, wanao, dada zako hawavai chupi sio?
sijui ila nauhakika una mamaUna uhakika nina mke na dada zangu?
Anajitahidi kutunga story lakini relevancy inafeli pale anapojisahau kuwa mtumba sio mpya......ukiwa na poor thinking ndio matokeo yake haya....mitumba mipya?