Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
- Thread starter
-
- #101
Siyo kila kitu walichokileta Wazungu ni kibaya. Kuna vitu vizuri na vibaya.Kwanini unapaka mafuta yanayo nukia na perfume na wala sio samli kama watu wa kabila fulani hivi
Roman Catholic Church ni dhehebu la "kishetani". Pale ndipo makao makuu ya Ibilisi hapa duniani, Vatican City, St. Peters Church. Soma kitabu cha UFUNUO WA YOHANA utaelewa UKWELI.Maneno meengi lakini mwisho wa yote andiko lako limeelekezwa zaidi na chuki dhidi ya "dini ya wazungu wa rumi" ambayo wewe unaiona ni upagani.
Ndio wale ambao hawaruhusiwi kuingia benki? nauliza tuHata wale wanaovaa hijab na sijui nikabu na kuficha sura kama maninja wanakera kwakweli, yaani joto la Dar au Mtwara unakuta li janamke limejivika madudu meusi mpaka nyayoni. Kuiga kuiga
Mimi kila siku huwa nasema bila "uwoga", Roman Catholic Church ni "wakala" wa Ibilisi hapa duniani. Kanisa hili linapingana na kila kitu alichokisema BWANA YESU KRISTO. Wiki mbili zilizopita nilimsikia "papa" wao akisema eti Sala ya BABA yetu IBADILISHWE!Ubarikiwe sana. Waroma wanadanganya ulimwengu ya kuwa wao ni wakristo ilihali wamepotosha mafundisho ya Yesu Kristo. Wanafiki wakubwa.
uandishi wako, neno " X-mass" unatia kichefuchefuAina hii ya mavazi huvaliwa Ulaya na Amerika ya kaskazini kipindi hichi cha mwaka kwa sababu ya baridi kali na barafu inayodondoka huko. Kichekesho ni pale unapomwona mtu mzima na akili zake amevaa mavazi haya hapa Dar huku joto likiwa kali kiasi kwamba wewe uliyevaa T-shirt tu unatamani kuivua utembee kifua wazi.
Huu ni ulimbukeni wa kiwango cha kupitiliza, hata Wazungu waliobuni aina hii ya mavazi wakiona mtu amevaa mavazi haya huku kwetu na joto lote hili la Dar huwa wanacheka sana, wanatudharau sana na kutuona bado sana sisi ni watumwa wa fikra.
View attachment 656653 View attachment 656654 View attachment 656655
Kuna watu watatetea ulimbukeni huu kwa kisingizio cha sikukuu ya X-mass ambayo nayo ni upagani tu wala haina maana yoyote katika dini ya KWELI ya KIKRISTO. Na wengine watasema ni namna ya kuvutia biashara; lakini bado haileti maana hata kidogo. Nasema haileti maana sababu hakuna uhalisia wowote ule wa kuvaa nguo kama hizi sana sana anayevaa anageuka kuwa kituko kwa wale wanaoelewa maana ya mavazi haya.
Kwa akili hizi sisi Waafrika tutabakia kuwa watumwa wa Wazungu mpaka siku ile BWANA YESU atakaporudi tena kwa mara ya pili. Kwa akili hizi ndio maana Wazungu wanatuibia madini yetu mpaka na mchanga pia wanachukua na kusafirisha kwenda kwao tena tukiwasindikiza sisi wenyewe mpaka uwanja wa ndege na bandarini huku tukiwalinda na silaha nzito, na wao kutuachia mahandaki matupu.
Ningekuwa mimi ni Rais wa nchi hii ningepiga marufuku kabisa aina hii ya ulimbukeni kama alivyofanya Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un; amesema hataki kabisa kuona raia wake wanasheherekea X-mass ama wanajihusisha na tamaduni zozote zinazoambatana na sherehe hizi za kipagani zilizoanzishwa na Wazungu wa Rumi.
So if X-mass is for men not men for X-mass; kwanini basi unaitumikia X-mass? Kwanini unakuwa mtumwa wa hiyo X-mass hata kupelekea kuvaa nguo ambazo ni mateso na kikwazo?? Kwanini unahangaika kuipamba miti kwa gharama kubwa mno? Je! Huko ndiko kumtafakari MESSIAH? Je! MESSIAH alikuagiza ufanye mambo hayo? Unayajua mafundisho na maagizo ya MESSIAH? Soma vizuri BIBLIA yako na utaelewa.Yaani kitu kidogo tu kama vazi,na kusherehekea christmass,limekufanya utoe povu kiasi hiki,hii sikukuu,ni kama symbol tu,ya kukumbuka kuzaliwa kwa kristo,there is nothing hamrful in it,its just a mare day,
Kuna wakati wafuasi wa Yesu walikemewa kwamba wanafanya ambayo hayatakiwi kufanywa siku ya sabato,akawajibu wakosoaji,kwamba sabath is for men,not men for Sabbath,
Ni almost 2000years,karne 20 zimepita,ukitaka tufanye,na tuishi kama watu wa enzi hizo,utakuwa haujatumia akili yako vzr,
Mi nafikiri cha muhimu,ni kuangaria hawa wanaosherehekea hii sikukuu,wanatafakari nini?,wana mkumbuka nani?nini kina kuwa kimewaongoza ktk fikra zao,
Hivyo ndivyo ilikuwa inaandikwa tokea mwanzo. Sikukuu hii ya KIPAGANI (X-mass) ilikuwapo duniani miaka mingi sana kabla hata MESSIAH hajazaliwa duniani. Sikukuu hii ilikuwa inasheherekewa kuzaliwa kwa "jua" au "mungu wa jua" aliyekuwa akiitwa MITHRA. Watu wa kale waliamini kuwa mungu huyo wa KIPAGANI alizaliwa kwenye pango tarehe 25 December. Tena waumini wa Mithra walikuwa wanachorwa alama ya "X" kwenye vipaji vya nyuso sao kwa rangi nyekundu.uandishi wako, neno " X-mass" unatia kichefuchefu
Wamekusikia wanakujaHii imekaa kichuki chuki dizaini,kweri tuanze na hao wanaovaa hijab na kuficha sura kama ninja vile.
We takataka ngoja nikae sawa nikurudie...shwain weweSoma historia ndugu yangu utajua mengi. Zaidi ya yote soma sana NENO LA MUNGU, nawe utaijua KWELI nayo hiyo KWELI itakuweka huru.
Sio maoni yake....ni upuuzi uliotukuka kuvaa mivazi ya baridi kwenye joto la dar...kwani tunasherehekea xmas ya kizungu au? White xmas....bullshi.t.Ni maoni yako
Pia unaonekana umeiga baada ya kuona huko korea....
Acha maigizo ....
Chapa kazi.
Huo unaita ukweli ni kwa mujibu wako n hiko kikundi chako cha kihuni...Ukisema nina "laana" au sina "laana" haiwezi kusaidia kuundoa ukweli ulio dhahiri kabisa.
Kwanza sio X-mass ni X-mas)Sikukuu ya X-mass
Kwasasa hivi huyo mungu wako jua yupo..?? Ana exist...???ni siku ya kuabudu "mungu wa jua wa kipagani"(Mithras).
Dini ya Mithra..?? Constantine hakuwai kuanzisha Sikukuu ya Xmas hata siku moja...Siku hii iliingizwa kwenye kanisa la Roma (Roman Catholic Church) na Emperor Constantine ambaye alikuwa ni muumini wa dini ya Mithra.
Naomba unipe ushahidi wa Constantine kuwa Askofu..., Alikuwa Askofu wa wapi... Yani jimbo gani..? Na uaskofu wake ulianza lini na uliisha lini...???Cha ajabu zaidi Emperor Constantine alijifanya kuwa "askofu" wa Roman Catholic church na hata siku moja hakuwahi "kubatizwa". M
Halafu unajiona mjanjaaa......Yani umeamua kunitunuku ujinga wa kutokujua historia ya Kanisa..??Historia ipo na imeandikwa. Tatizo lako husomi, kazi yako ni kufuata tu mkumbo. Pole sana Otorong'ong'o, nakuombea kwa MUNGU akufungue macho uuone UKWELI.
Je! Unao ushahidi wa wazi kabisa kuwa kabla ya huyo Constantine wako hajabadilisha hiyo siku yako ya Jumamosi, wakristo walikuwa Wanasali lini..???Constantine wa Roma, ndiye aliyebadilisha siku ya kuabudu kutoka JUMAMOSI ambayo ndiyo SABATO ya kweli na kuihamishia siku ya JUMAPILI ambayo ni siku ya kwanza ya Juma
Je! Unajua kuwa Emperor Constantine licha ya kuwa Bishop of Roman Catholic Church, hakuwahi kubatizwa kabisa? Mtu unawezaje kuwa Askofu wa kanisa bila kubatizwa?? Nikisema Wakatoliki mmeingia mkenge utakataa?Je! Unao ushahidi wa wazi kabisa kuwa kabla ya huyo Constantine wako hajabadilisha hiyo siku yako ya Jumamosi, wakristo walikuwa Wanasali lini..???
NB: najua Constantine alizaliwa lini, alikufa lini, alifanya nini......yote najua hivyo usijaribu kunidanganya
Tutabishana sana hapa lakini ukweli ni kwamba Emperor Constantine alikuwa ni wakala wa Ibilisi. Tena yeye naweza sema alikuwa ndiyo "papa" wa kwanza. Historia mnayofundishwa Wakatoliki imechakachuliwa ili kuuficha UKWELI. Ikiwa mnaweza kuichakachua BIBLIA mtashindwaje kuchakachua historia yenu wenyewe???Huo unaita ukweli ni kwa mujibu wako n hiko kikundi chako cha kihuni...
Kwanza sio X-mass ni X-mas)
Kwasasa hivi huyo mungu wako jua yupo..?? Ana exist...???
Dini ya Mithra..?? Constantine hakuwai kuanzisha Sikukuu ya Xmas hata siku moja...
Naomba unipe ushahidi wa Constantine kuwa Askofu..., Alikuwa Askofu wa wapi... Yani jimbo gani..? Na uaskofu wake ulianza lini na uliisha lini...???
Nipo
Unaposema wakala wa Ibilisi una maamisha nini hasa..??Tutabishana sana hapa lakini ukweli ni kwamba Emperor Constantine alikuwa ni wakala wa Ibilisi