Uvamizi wa Hamas ni "false flag" ya Mossad au ni "failure"

Wakuu Salam!
Kama Uzi unavyosomeka imekuaje Israel ikajisahau namna hiyo Hadi wa palestina wakafanya uharibifu huu?
Wajuvi wa mambo ebu tupeni za ndani ndani maana sio kawaida namna hiyo.
 
Kumbe mungu ni wa Israel sisi waafrika ni shobo tu
 
Hapa kuna lakutafakari,

Israel Taifa teule la Mungu, hivi huu usemi unapimwa kwa kipimo gani, Mungu atawalinda, daah, ase wayahudi wamefanikiwa sana kupitisha ajenda zao kupitia imani,

Chunguza sana utagundua Mauaji ya kinyama wao ndio wanaongoza, Wamekalia Ardhi ya watu kimabavu, bado wanaendelea kujenga nyumba za walowezi na kujitanua upande wa Palestine, duh ase hawa ndio watu wa Mungu mnao wasifia , INATAFAKARISHA SANA
 
7000 rockets...nawaza hizi zingetumwa kwetu tungefanyaje?..
Pia jeshi letu na sisi lijipange tuanze kuiba idea kama hizi za hamas.
Unamaanisha nini? Hivi mnaelewa maana ya rockets 7000? kwenda kuipiga Israeli? yenye ukubwa gani?
 
Vita ni timing hakuna jipya. waendelee mpaka mwisho wasiamuliwe. Tuna taka ama Hamasi wawamalize waisrael au Israel iwamalize Palestine. Hatutaki masalia, waachwe wachapane mpaka mwisho.
 
Kwa kilichotokea huyu Myahudi atumewaza Mpersia kweli??Muiran....
 
Marekani haipigani vyote yoyote kwa sasa.
 
Ili ukisikia "ya'allah",ujue limetua jichoni mwa mtu.
Mungu wa deen ya Wayahudi Amewaagiza Wayaishi haya ili wafaulu!
[emoji116][emoji116]
Deuteronomy 19:20-21
[20]Na watakaosalia watasikia na kuogopa, wasifanye tena uovu mfano wa huo katikati yako.

[21]Wala jicho lako lisiwe na huruma; uzima kwa uzima, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa
mkono, mguu kwa mguu.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Vita ni timing hakuna jipya. waendelee mpaka mwisho wasiamuliwe. Tuna taka ama Hamasi wawamalize waisrael au Israel iwamalize Palestine. Hatutaki masalia, waachwe wachapane mpaka mwisho.
Mkuu kinachoendela sasa hivi ukanda wa Gaza unaenda kufanywa magofu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…