Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.
Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.
Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?
Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?
Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.
Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?