UVCCM wagonjwa hawahitaji picha ya Rais, acheni hizi propaganda

Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.

Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.

Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?

Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?

Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.

Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?

Uvccm na ccm kumejaa vichaa 99%
 
Pengine hiyo picha ina nguvu ya uponyaji kwa kila anayeiangalia huwezi jua
giphy.gif
 
Unampa mgonjwa sabuni ya 500 halafu unampiga mapicha, mabango na matangazo kibao. Naona kuna watu wanataka kuanza awamu nyingine ya kuabudu bnadam
 
Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.

Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.

Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?

Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?

Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.

Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?

Hapa nakuunga mkono,picha sasa ya nini? Appreciation sio lazima ifikie kuwa ujinga.
 
Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.

Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.

Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?

Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?

Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.

Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?

Uchawa pro max
 
Back
Top Bottom