ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Nchi ngumu sana hii... Kwamba picha ya rais ndo inafanyaje Kwa wagonjwa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ngumu sana hii... Kwamba picha ya rais ndo inafanyaje Kwa wagonjwa sasa?
Lwahiyo wewe uvccm umebakia na akili za kujikomba hadi unatembea na picha ya mwenyekiti wako hadi mahospitalini na kwa waganga wa kienyeji?UVCCM na BAVICHA ni aibu za taifa. Kuna mwaka UVCCM walitaka kufanya maandamano ya kupongeza hotuba ya Rais Kikwete. Wakati huohuo kipindi Kikwete anakaribia kumaliza awamu yake aliwatimua kwenye event ambayo ilikuwa na ulazima wao kuwepo. Yaani Kikwete alishtuka majitu haya hapa na mavazi ya kijani kwenye shughuli isiyohitaji hayo mambo, akawaambia waondoke. Matukio ya UVCCM yenye kutia hasira ni mengi. BAVICHA wao tatizo lao ni kukabidhi akili zao zote kwa Sultani Mbowe. Walichobaki nacho ni matusi tu.
Picha ya rais inapelekwa hospital kwa wagonjwa😁😁 wakati hospital haina dawaMama analazimisha kukubalika...
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Magufuli alikuwa na chawa ila hawa chawa wa awamu hii wamezidi jamani.
Pumbavu kabisa we mbona ulimlamba jiwe matakoVijana tufanye kazi tuache kujipendekeza kwa viongozi wa nchi.
Tujipendekeze kwa Mungu zaidi maana yeye ndiye anayetoa hayo mamlaka kwa hao tunaopambana kujipendekeza kwao.
Battle for the soul of CCM. Hii ni vita ya “kiroho”.Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.
Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.
Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?
Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?
Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.
Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?
Hongera sana kwa MaturityKwa Avatar yako sioni sababu ya kujichosha na wewe
Code inasemaHongera sana kwa Maturity
wenzako wapo kazini hapo mkuu na mkono unaenda kinywani, hii nchi ngumuHao wajinga wamekosa kazi za kufanya
Huyo huyo mkuu analazimisha kupewa udc angalauUmenichekesha Sana, kumbe ni huyu?
Chakubanga alisha wamalizaHahahah aisee hadi aibu naona mimi hahahah aisee hawa sio wazima kabisa vichwani
Sawa mkuu, naweza kili hiloMkuu mimi sikuwa na ujinga wa kiwango hiki